Rais Magufuli awatumia Clouds Media salamu za Krismas

5e9d6fa108913b929fd2177d3078d631.jpg

Ikumbukwe mwaka jana alipiga marufuku fedha za umma kutumika kununulia au kusambaza kadi hizo, mwaka huu hali imekuwa tofauti kwani naye ametuma kadi kwa wale awapendao!
Bila shaka jambo hili limepokelewa na wadau kwa mitazamo tofauti tofauti!!
 
thats being selfish ...anawaambia watu wasichapishe kaadi za siku kuu maofisini ...na kuwanyima riziki watu wadogo wadogo waliokuwa na vijiduka vya kutengeneza kadi ...ili yeye peke yake ndio awe anagawa kadi ...
na kadi ya radio na tv zingine ziko wapi?? kwani wao hawamsaidiii kutangaza ....TBC??
Na roho mbaya hii ni roho ya kichawi
 
Rais katuma kadi !! duh! hongereni clouds. Ila akumbuke kuna radio ya taifa nao wanataka salamu zake....lkn hizi kadi si tuliambiwa tusichapishe zina maliza hela ya serikali
 
View attachment 449618
Nimejiuliza kwanini Rais akuwatakia vyombo vyote vya habari?

Je,Hii hawezi kuwafanya media nyingine kuwa na kinyongo?

Au ni kweli Mhe.Rais clouds ndio radio/Tv yake pendwa tanzania?
Kwa mtazamo wangu kuna mahusiano fulani ya siri kati ya mhe Rais na Clouds. Haiwezekani kila siku Masudi Kipanya anamsema vibaya JPM lakini kila siku Rais ni kuwasifia tu Clouds, au anawafanyia Promo ya kibiashara kijanja huku ana kapasenti kake ka siri pembeni?
 
Natamani kuona siku akituma salamu ya mwaka mpya hapa jamiiforums. Au kwa vile nasikia fulani
Naye ni mmiliki
 
View attachment 449618
Nimejiuliza kwanini Rais akuwatakia vyombo vyote vya habari?

Je,Hii hawezi kuwafanya media nyingine kuwa na kinyongo?




Au ni kweli Mhe.Rais clouds ndio radio/Tv yake pendwa tanzania?

Rais atakuwa amewatakia wote ila Clouds ndio
kiherehere zaidi kuonyesha, wengine wote wametumiwa hizo salaam ila wamejinyamazia bila kuongelea au kuzungumzia.

Kwa maoni yangu ni kweli Clouds Media wanajitahidi sana kwa edutainment programs, but when it comes to seriousness, TBC is still the best.

Tatizo sina uhakika ni Watanzania wangapi wanataka serious stuff kama za TBC kwa sababu hata kwenye magazeti wengi wanakimbilia kusoma tabloids badala ya broadsheets.

Paskali
 
Back
Top Bottom