Rais Magufuli awatumia Clouds Media salamu za Krismas

Halafu anakataza Ofisi za Serikali kutumia fedha za Umma kutengeneza Kadi, ili Hali yeye mwenyewe katengeneza tena kwa nembo ya Ikulu.
 
0679c365f07c577a712221a32dc402b5.jpg
Nimeifuma Mahala
 
waandishi wa tanzania wanajigonga sana kwa politician ,ndio maana wamepewa mimba na yakwanza sheria ya habari
 
Sidhani kama ni mambo ya KIKANDA. Pengine vipindi vya Cloud VINAMBAMBA na ametuma salamu kama SHABIKI na si kama Rais.
Hiyo bado INAKUBALIKA!
Hata hivyo kanda ya ZIWA bado ni Tanzania.
Labda tungeuliza na yetu watanzania wengine je iko wapi?
Pengine inakuja au imekuja na hujaisikia?
Na ile nembo ya adam na hawa
 
View attachment 449618
Nimejiuliza kwanini Rais akuwatakia vyombo vyote vya habari?

Je,Hii hawezi kuwafanya media nyingine kuwa na kinyongo?

Au ni kweli Mhe.Rais clouds ndio radio/Tv yake pendwa tanzania?
Anawakumbuka Cheerleaders sio, Hiyo ni ishara ya Madictator, wanalazimisha wapendwe na wasifiwe! Nimeona Video ya Amini hapa, wajamaa wanafanana sana kwa vitisho kwa Mawaziri nk. Ila ingawa Amini alikuwa akiongea Kiingereza Kibovu bado Amini Kiingereza chake kilikuwa bora mara kama 10 hivi. Mnabish niweke Video ya kulinganisha? Mnabish?

 
Yaani hajatutumia sisi wananchi?
Anamazarau sana huyu kichaa wetu.
 
Mimi nataka arudishe fedha ya kodi zetu hawezi kuchezea pesa zetu kwa kutuma kadi kwa chombo cha wanafiki wenziwe
 
Back
Top Bottom