Rais Magufuli awatumia Clouds Media salamu za Krismas

Nani amegharimia hizo kadi. Kama ni yeye binafsi hakuna neno kwani naye ana mapenzi yake na chochombo chochote cha habari lakini kama ni kadi zimechapwa kwa pesa zetu wananchi ndio hapo tunapata shida kwani atakuwa anavuruga dhana yake ya kubana matumizi

Hiyo imegharamiwa na kodi zetu,ujaona nembo ya taifa hapo? Uyu jamaa ni mnafiki sana.
 
Kwakuwa mkulu ana mahaba na clouds tangu hapo na clouds wana digrii ya kulamba miguj ya mkulu basi nawashauri waandishi wa habari waingie kwenye mgomo baridi wa kutokuripoti matukio yanayomuhusu mkulu na ikulu yake ili clouds watoe taarifa hizo wao.Kwanza uhuru wa habari hakuna so wasishughulike na mambo ya mkulu waachane naye hata akiwaita comference wasiende wawaachie clouds tuone mbabe ni nani!!!
 
Duh...hivi aliwatumia na kadi ya Eid?
Wangeweza kuacha kuzihusisha kabisa hizi sherehe za kidini na serikali (kwa maana ya gharama) ingekuwa vema sana.
 
Media zote zimepewa kadi mbona mnadakia msilolijua kupongeza sio shuruti ni hiari
I wish iwe hivyo,lakini utupe chanzo cha kuaminika kudhihirisha hivyo.....Sijui kama huo mwandiko kwenye kadi ni wake yeye binafsi ama lah..Kama ni wake basi inamaana alihitaji kufanya hivyo kwa vituo vya redio pekee zaidi ya 125 hapa nchini..(kwa logic ya ''zote'') ili usionekane ''uspesho'' wowote kwa CMG..Hapo hatujagusia magazeti,majarida, na vituo vya televisheni..
 
Kuna jamaa aliwahi kusema kuwa zuberi wa mwandiga na redio ya ghorofani mlalakua wapo kwenye payroll ya kitengo cha ujasusi .
 
fb5d919ede0d4b569d51c0127ac987ad.jpg

Nimejiuliza kwanini Rais akuwatakia vyombo vyote vya habari?
Je,Hii hawezi kuwafanya media nyingine kuwa na kinyongo?
Au ni kweli Mhe.Rais clouds ndio radio/Tv yake pendwa tanzania?
...Hebu niulize ka swali kangu ka kizushi;
Hiyo kadi pamoja na nyingine imenunuliwa kwa pesa ya ikulu/serikali au kwa pesa ya mheshimiwa mwenyewe??
Nakumbuka alishapiga marufuku kadi na miti ya krismasi kununuliwa kwa pesa ya serikali..
 
Kwanza ilipigwa simu kipindi cha 360 yule jamaa akalamba ukurugenzi,ukaja mkutano wa waandishi wa habari fiesta ikapigiwa chapuo wazi wazi,leo hii wanatumiwa kadi ya kuwatakia heri ya sikukuu...hawa watu watakuwa kuna kitu wanakijua wakikiachia mtu atapata cardiac arrest....this is unprecedented...na hiyo kadi kaigharamia nani?
 
Wamiliki wake wanatoka kanda ya ziwa.
Sidhani kama ni mambo ya KIKANDA. Pengine vipindi vya Cloud VINAMBAMBA na ametuma salamu kama SHABIKI na si kama Rais.
Hiyo bado INAKUBALIKA!
Hata hivyo kanda ya ZIWA bado ni Tanzania.
Labda tungeuliza na yetu watanzania wengine je iko wapi?
Pengine inakuja au imekuja na hujaisikia?
 
Rais wa zimbambwe toka aanze kufunga wanahabari nilishamdharau siku nyingi sana.....na nikamuona mpumbavu na asiyejua kitu
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom