Rais Magufuli awateua wahandisi kuiendesha ATCL (Mwenyekiti wa Bodi na Mkurugenzi Mkuu)

Kuteuwa CEOs wakati umeshaagiza ndege ni sawa na kuteuwa timu kabla ya kuajiri kocha, wengeteuwa kwanza CEOs ndio afanye kazi ya kutafuta ndege na kupanga timu ya kazi. Hii biashara ni very delicate, a single mistake unawa biashara yote, tusomeni historia ya Ethiopia Airlines ndio tutajua zaidi.
 
chukua mwalimu kisha mpeleke hospital akatibu wagonjwa na kisha chukua daktari mpeleke darasani kisha uje uone matokeo yake
Tatizo vitini, umetoa mfano mfu kabisa, hivi hujui kuna walimu wa wauguzi wetu kwenye vyuo vya afya inamaana hawawezi kutibu au unamaanisha mwalimu wa sayansi kimu?
 
uploadfromtaptalk1474571968185.jpeg
 
MUDa WAKUPIGA KAZI ATCL ISIO NA HASARA SHIKAMOO DK JPM,CHAMURIHO,PROF MBAWARA
 
Unless niwe sielewi.
Why wahandisi everywhere?
Kwann hapa asingekaa mtu wa masoko na mambo ya biashara za kimataifa?
That is the fierce competation sector.
Mwandisi aende huko kwenye nyundo na misumari.
Anyway ngoja tuone
 
Nathani ceo atakuwa mtu mwenye experience ya muda na anajua dunia inakwenda wapi. Sio maprof na dr wanajua theories tu
 
Unless niwe sielewi.
Why wahandisi everywhere?
Kwann hapa asingekaa mtu wa masoko na mambo ya biashara za kimataifa?
That is the fierce competation sector.
Mwandisi aende huko kwenye nyundo na misumari.
Anyway ngoja tuone
Mkuu katika miundo ya kitaasisi kuna kurugenzi maalumu zinazohusika na hizo kazi...
 
Kwa jinsi nilivomsikiliza Rais leo, nikijumlisha na matarajio ya kila mtanzania nimemuonea huruma CEO wa ATCL! Ushauri wangu kama umewahi kuwa na kahistoria hata kadogo ka presha tafadhali pumzika! Mkuu wa kaya hataki longolongo hata kdg anataka mzigo wake benki kila mwezi uwe unasoma vzr!
 
Utumishi wa umma awamu hii ni kimbembe!
 
Back
Top Bottom