Rais Magufuli awateua wahandisi kuiendesha ATCL (Mwenyekiti wa Bodi na Mkurugenzi Mkuu) | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Magufuli awateua wahandisi kuiendesha ATCL (Mwenyekiti wa Bodi na Mkurugenzi Mkuu)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Informer, Sep 15, 2016.

 1. Informer

  Informer JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2016
  Joined: Jul 29, 2006
  Messages: 1,230
  Likes Received: 2,573
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  =============
  Taarifa Zaidi
  =============

  [​IMG]
   
 2. Kkimondoa

  Kkimondoa JF-Expert Member

  #21
  Sep 15, 2016
  Joined: May 31, 2014
  Messages: 4,253
  Likes Received: 4,353
  Trophy Points: 280
  Yah! Tuwape nafasi wafanye kazi kwakweli sina wasiwasi na baadh ya teuzi za mh. Rais wangu magufuli
   
 3. R

  Retired JF-Expert Member

  #22
  Sep 15, 2016
  Joined: Jul 22, 2016
  Messages: 11,307
  Likes Received: 13,598
  Trophy Points: 280
  Yapi, jina ni wewe unayesubiri hewa
   
 4. R

  Retired JF-Expert Member

  #23
  Sep 15, 2016
  Joined: Jul 22, 2016
  Messages: 11,307
  Likes Received: 13,598
  Trophy Points: 280
  Engineers siyo wachumi
   
 5. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #24
  Sep 15, 2016
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,199
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Naomba nimpongeze MH RAISI kwauteuzi wa MKURUGENZI MPYA WA ATCL NA. MWENYEKITI WA BODI YA ATCL

  AIDHA NIMPONGEZE MH WAZIRI MBAWARA KWA KUAMINI ATATEUA WASAIDIZI AMA WAJUMBE WA BODI ILIO IMARA KURUDISHA ATCL UPYA KTK HESHIMA ZAKE...

  MH RAIS AMEMTEUA NDG .ENG.EMANNUEL KOROSSO KUWA MWENYEKITI WA BODI YA ATCL

  AIDHA MH RAIS AMEMTEUA MKURUGENZI WA ATCL MHANDISI LADISLAUS ERNEST MATINDI

  ENG MATINDI ALIKUWA MKURUGENZI SHIRIKA LINALOSHUGULIKIA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRICA LENYE MAKAO YAKE MAKUU SENEGAL

  UTEUZI HUU UMEANZA MARAMOJA


  NAWATAKIA KILA LA KHERI NA KTK NIA NJEMA KABISA NICHUKUE MDA HUU KUOMBA WATANZANIA WAWAOMBEE MUNGU WAWEZE KULIFUFUA SHIRIKA LETU LA ANGA NANKURUDISHA HESHIA YA NCHI..

  AMEN
   
 6. Victor wa happy

  Victor wa happy JF-Expert Member

  #25
  Sep 15, 2016
  Joined: Apr 24, 2013
  Messages: 9,300
  Likes Received: 6,514
  Trophy Points: 280
  Kila siku ni kuteua tu
   
 7. Victor wa happy

  Victor wa happy JF-Expert Member

  #26
  Sep 15, 2016
  Joined: Apr 24, 2013
  Messages: 9,300
  Likes Received: 6,514
  Trophy Points: 280
  Kweli Urais ni mtam
   
 8. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #27
  Sep 15, 2016
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,819
  Likes Received: 2,573
  Trophy Points: 280
  Yeah. Rais anatumia madaraka yake ya kikatiba.
   
 9. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #28
  Sep 15, 2016
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,819
  Likes Received: 2,573
  Trophy Points: 280
  Ndio maana unaona mpaka leo Mzee wa Monduli na wafuasi wake wanauota.
   
 10. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #29
  Sep 15, 2016
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,199
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mpwaaa kama ulivyoozoeaa kwa mstafu nahili n jukumu lake MH Raisi
   
 11. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #30
  Sep 15, 2016
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,199
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Unahisi kirahisi hivyoo
   
 12. Beira Boy

  Beira Boy JF-Expert Member

  #31
  Sep 15, 2016
  Joined: Aug 7, 2016
  Messages: 12,177
  Likes Received: 11,195
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona wote ni wasukuma kwan makabila mengine hakuna jaman
   
 13. w

  wabuyaga JF-Expert Member

  #32
  Sep 15, 2016
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,685
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu tuko pamoja! Yaani watu nafikiri wamekuwa frustrated na kukatiwi missions zao za usanii! Inabidi tufike mahali fulani tukabali kuwa Mhs Rais anafanya kazi yake vizuri. Na ni bahati mbaya amekuta UUZO kila kona na ndiyo maana matokea mazuri ya kazi yake yatakuja kuonekana kati ya miaka 2 mpaka 3 kuanzia sasa. Tumuunge Mkono
   
 14. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #33
  Sep 16, 2016
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,810
  Likes Received: 1,257
  Trophy Points: 280
  wakati mwingine tunateua na kutengua na wakati mwingine wateuliwa wanagomea uteuzi!
   
 15. kmbwembwe

  kmbwembwe JF-Expert Member

  #34
  Sep 16, 2016
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,429
  Likes Received: 1,399
  Trophy Points: 280
  yes..wote attitude yao ni kula kula. wanadhani airline maana yake matumizi ya kifahari kila kitu. kwanza wote saa hizi wazee hawana jipya zaidi ya kulakula.
   
 16. YEHODAYA

  YEHODAYA JF-Expert Member

  #35
  Sep 16, 2016
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 10,731
  Likes Received: 10,019
  Trophy Points: 280
  vikozi hivyo vya marketing kila kozi wanavisoma.Mainjinia wanasoma ,walimu wanasoma.wanasheria wanasoma wahasibu wanasoma kila moja hufundishwa hizo kozi sio kitu kikubwa kama unavyodhani.Injinia hufundishwa jinsi ya ku-market bidhaa zake za kiinjinia ziwe ndege ,au bidhaa alizotengeneza!
   
 17. darcity

  darcity JF-Expert Member

  #36
  Sep 16, 2016
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 3,855
  Likes Received: 5,173
  Trophy Points: 280
  chukua mwalimu kisha mpeleke hospital akatibu wagonjwa na kisha chukua daktari mpeleke darasani kisha uje uone matokeo yake
   
 18. E

  Escrowseal1 JF-Expert Member

  #37
  Sep 16, 2016
  Joined: Dec 17, 2014
  Messages: 901
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 60
  Bado tuna kazi kubwa. Wahandisi si ma manager minadhani tunahitaji watu wenye elimu nzuri ya biashara plus talents hawa watu ni muhimu kabisa na impacts zao zinajulikana duniani kote. Labda mh ana vigezo vyake
   
 19. i

  interlacs Senior Member

  #38
  Sep 16, 2016
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Uko sahihi mkuu, baya zaidi mtu mwingine akiingia madarakani anakuja na watu wake mfukoni. Anasahasahau success ya alie mtangulia.
  Former Nigeria Finance Minister said in TED show " Africa must learn how to manage success and build strong institution"
   
 20. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #39
  Sep 16, 2016
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,135
  Likes Received: 2,141
  Trophy Points: 280
  Umeangalia experience? au wewe unataka makaratasi ya degree za MBA?
   
 21. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #40
  Sep 16, 2016
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,993
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Wahandisi hawakubali kushindwa, hapo ndio patamu
   
Loading...