Rais Magufuli awateua wahandisi kuiendesha ATCL (Mwenyekiti wa Bodi na Mkurugenzi Mkuu)

elimuplatform

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,050
1,500
Mawazo ya kihandisi yame take over mawazo ya kichumi namkumbuka mkwere na degree yake ya pass lakini ya uchumi, kujua tu what is demand kwenye uchumi inaleta faraja
 

Mwisenge1993

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
903
1,000
Nilidhani,shirika letu lingeendeshwa na watu wa biashara au masoko
Hivi mtu akiwa Mhandisi awezi kuwa na knowledge ya Biashara,haya mambo ya kusoma vitini yameharibu sana hili taifa.Tuna watanzania kibao wamesoma sijui BCom, BAF etc hawawezi hata kurun biashara za genge, watu wamesoma marketing mpaka PHD lakini hawawezi ku-market kitu chochote hao ndo ulitaka wateuliwe, au ulitaka tu-recycle watu ambao umewazoea, kuwa positive
 

bukoba04

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
1,393
2,000
Mhandisi katoka Shirika la Anga Afrika, amekuja kufanya kazi na mkuu wa kaya, la msing aangalie vyema asije akaweka akili yake mfukoni akabaki na kauli ya kuitikia "ndio mzee"
lakin na pia najiuliza vip kwa habar ya mshahara wake, lazima mhandsi atakuwa kawapa serikali mashart magumu, hata salary scale yake uenda isiwepo kwenye scale za utumish kwa upande wa huko ATCL
nimejikuta najiuliza haya maswali, coz kuna kipind alitumbua uteuzi wa mwenyekiti wa kituo cha uwekazaji cha kimataifa ambaye kimsingi Jakaya alimtoa SOUTH kuja kusaidia kituo hicho, kwa madai alishindwa kupokea mshahara kwa muda kadhaa
 

Mwendo Kasii

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
203
250
wasije nao ingia katika siasa wakaharibu mambo kama wengine tunavyo waona leo hii baada ya kuteuliwa .............
upload_2016-9-15_17-38-10.jpeg
 

stormryder

JF-Expert Member
Mar 23, 2013
1,229
2,000
Hizi Muhandisi awezi kuwa C.E.O au Mwenyekiti wa bodi?, Au Magufuli ndio mtu wa Kwanza Kufanya Hayaa?
Hata kama Hatuna Jema, tuweni na tafiti ya Mambo tunayoongea, Angalia Ma C.E.O wa haya makampuni alafu ufatilie fani zao
1. Google/Alphabet
2. Facebook
3. Twitter
4. Apple
5. Amazon
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom