Rais Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

Hii si hotuba inayotolewa na kiongozi wa nchi kwa watu wake ambao wamepatwa na maafa. Kuwakejeli kama vile hayo mabaya wao wameyaomba kwa Mungu. Kiongozi anayejitambua kamwe hawezi kutoa hotuba mbovu kama hiyo.

Mkuu BAK punguza ukali kidogo wata ku- Ben azi suun azi posibo
 
ushawai kufanya katerero?
Katerero habari yake ni balaa asikwambie mziki wake utatamani uucheze kila siku coz its a very tastey unique thing. Shamooo~ooh katerero.
Sasa ndio ukute inapigwa alafu unakula chabo au unaskilizia kwa nje hutaskia kile za mahaba ila utaskia wahusika humo ndani ni bojoooooo, bojooooo, bojooooooooooo
 
Hii si hotuba inayotolewa na kiongozi wa nchi kwa watu wake ambao wamepatwa na maafa. Kuwakejeli kama vile hayo mabaya wao wameyaomba kwa Mungu. Kiongozi anayejitambua kamwe hawezi kutoa hotuba mbovu kama hiyo.
Hivi upo town au bado upo majuu mkuu!
 
Nakumbuka kipindi nipo huko kikazi Bukoba.... I was so so surprised na hayo magodoro hotelini yenye nailoni kabla ya shuka.... Pia yanafanya kitanda kinakuwa cha baridi.... !!!
Nylon ziko kwa makusudi hizo coz katerero sio mchezo bila hizo nylon cover magodoro yote si yatalowa ile mambo inasababisha kitu inamwaga maji utadhani bomba la dawasco limepasuka
 
Itz a shame..a big shame.....kwanza uwatusi wahanga kwa dhihaka kubwakubwa....hivi huyu mtu anafikiri kweli kabla ya kutendah...!!? Kweli wana Kagera waliomba GONJWA la ukimwi kutoka kwa Mungu...!!? Je ni wao waliomba kwa Mungu awaadhibu kwa TETEMEKO.....!!? Mto Ngono umewauliza asili ya neno na maana yake au ndio akili yako Mtukufu ilipo lalia......!!? Nakumbuka umewahi kumnyanyasa kisaikolojia mama aliye ulizia HOBBIE yako ....sasa nimekuelewa....!! Je kijiji cha KATELELO umewauliza wazee wa KAGERA asili ya neno na maana yake...!!?

MAGU.....Mbona wewe unaitwa Pombe (baba wa maasi) na bado ukienda kanisani unapewa baraka...!!?

Magu..watake RADHI wana Kagera....hata kama ni watani wako...utani usiuweke katikati ya MSIBA.....

Mwisho unawadhihaki kwa kuwaambia KAGERA OYEEE...!!?

BILA CHEMBE YA AIBU...Mungu anakuona...!!
Tulia mkuu, ni utani tu ule..!
 
Back
Top Bottom