Rais Magufuli avuruga wengi

Rais Magufuli avuruga wengi

Ndg yng umeambia usikojoe hapa ww unakojoa kwa kuwa kuna sheria ya kukulinda chini ya uvungu alafu ukikamatwa unasema sheria inasemaje kwenye ukweli tukubaliane ndio maana rwanda imenyooka kwa kusimamia ukweli
 
Hata hivyo namna ya kumsimamisha haikuwa nzuri. Mh raisi anapaswa kuwaheshimu walio chini yake. JPJM amemhukumu Kabwe mbele ya hadhira na katika namna dhalili isiyofaa kwa binadamu yeyote.

Anyway, tulimtaka wenyewe sasa tumvumilie!

Rais anawaheshimu wanaojituma na kufuata sheria za kazi. Kama wewe ni mtumishi wa umma unataka kuheshimiwa fanya kazi kwa kufuata sheria, kanuni na tararibu; acha ubadhirifu na wizi kwa kutumia kalamu. Hapo ndipo utakapoheshimiwa si na Rais tu, bali wananchi wote wa Tanzania.
 
Ndg yng umeambia usikojoe hapa ww unakojoa kwa kuwa kuna sheria ya kukulinda chini ya uvungu alafu ukikamatwa unasema sheria inasemaje kwenye ukweli tukubaliane ndio maana rwanda imenyooka kwa kusimamia ukweli
Hatutetei maovu tunatetea sheria kufuatwa kwenye ufukuzaji na usimamishaji wa wafanyakazi
 
Mwanahabari huru najua umeumia ulikuwa unakula hela za mafisadi kwa kupewa rushwa ili usiandike hbr zao tafuta kazi nyingine
 
Nilazima watanzania tujiandae kisaikolojia ktk swala lakutumbuliwa, utumbuaji nikazi kidogo sana mh Rais anafanya. BADO TunaKWENDA kutaifishwa mali za walio hujumu uchi wetu na mahakamani nakama sheria ingeruhusu wangenyongwa.
Mtu anaye tetea mafisadi nakusema eti wanatumbuliwa vibaya sijuwi haki nasheria nilazima wajiulize kwanza watu wangapi wamekufa kwakukosa uduma bora kisa ni hao mafisadi.
Tumefika hapa kwasababu yakukaa kimya nakuacha watu wachache kuhujumu uchumi nakugawa fadhila kwenye kila taasisi ili siku wakikutwa na majanga muwe wakwanza kuwatetea. Pesa zimegaiwa makanisan na misikitin ili kuficha ubaya wao.
LAKINI MIM NISEME SIO DK MAGUFULI WALA SERIKALI HII INATUMBUA MAJIPU. ILA MUNGU AMESHUKA MWENYEWE KULIJENGA TAIFA HILI KUPITIA CCM CHINI YA SERIKAL YA DK JOHN POMBE MAGUFULI. TULIPOKUWA TUMEFIKA TAIFA HILI MASIKINI ALIKUWA HANA CHAKE NA HUYU MAMA ANAKUWA SIO MKWELI BORA ANGEKAA KIMYA MAANA SIKU YA KIAMA ATAKUWA NAMASWAL MAGUMU YAKUMJIBU MUNGU. BORA WATU WATUMBULIWE WOTE WAISHE SHERIA ITAKUJA FUWATA MKONDO WAKE AS LONG AS WAKATI WOTE RAIS WETU GENIUS HUWA ANASEMA "AMEMSIMAMISHA KAZI", AMETENGUA UTEUZI. Sasa sijuwi mtampata wapi kwenye mashtaka. Au mlitaka asemeje?
JANA NILISEMA HATA TZ TWAFANYA KIDOGO SANA KWENYE KUTUMBUWA MAFISADI.CHINA UNATUMBULIWA, UNAPELEKWA MAHAKAMANI HAKI YAKUSHINDA KESI INAKUWA HAKUNA NA MWISHO HAKIM ANATANGAZA JAMUHUR INAKUNYONGA NAILI WENGINE WASIRUDIE UNATAKIWA KUOMBA RADHI KWA TAIFA KABLA YA KUNYONGWA NA WAKISHA KUNYONGA TV YATAIFA INATOA MZOGA WAKO UONEKANE WATU WOTE WAJUE YOUR NW DEAD. Nahakuna cha human right wala cha nini na china uchumi wake wapaa kama rocket.
UFISADI UMELETA LAANA KUBWA KTK TAIFA HILI YEYOTE ANAYE PINGA KAZI NZURI NA MOYO WA MH RAIS KUWATUMIKIA WATANZANIA YAMPASA KWENDA MAKABURINI NAKUYAULIZA WANGAPI WALIKUFA KWA UZEMBE NA UFISADI WATU WACHACHE KTK SERIKALI NAKAMA WANGETAKA HAKI IFUWATE MKONDO WAKE WANGETAKA NIN KIFANYIKE JUU YAO. YATOSHA YALIOKWISHA TOKEA YATOSHA UHAI WA MTANZANIA KUTOKUWA THAMAN MBELE YA MAFISADI. MTU ANAYE DHANI KUWA HUYU RAIS HATENDI HAKI KULIKOKUWA MPINZANI NDANI YA SERIKALI HII BORA ATOKE NAAKAFANYE KAZI NYINGINE KUPISHA WENGINE WENYE HARI NA NGUVU YAKUMSAIDIA RAIS WAPATE HYO NAFASI.

Mh Rais wewe piga kazi, nakwaushauri ongeza nguvu kwenye vyombo vya usalama. LAZIMA TAIFA HILI LITANYOOKA TU HAUPO PEKE YAKO ANGALIA, KULIA,KUSHOTO MBELE NA NYUMA UMEZUNGUKWA NA MAELFU YA WA TZ NA MALAIKA WAMUNGU KUKULINDA NAHAKUNA KITAKACHO KUGUSA.
NIMTU ASIE JUWA TULIPOTOKA ANAWEZA KEBEI KAZI YAKO ILA MUNGU NA MALAIKA NA WA TZ WOTE TWAUNGANA KUSEMA THANK YOU VERY MUCH MR PRESIDENT DR JOHN POMBE MAGUFULI.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Amen
 
Kitendo cha kusema anamfahamu Kabwe vizuri, yakua ni mgonjwa, ishavuruga mantiki ya habari nzima.
 
Huyu Bi mkubwa katumwa na mafisadi siyo bure,Mbona halmashauri zinazoongozwa na ukawa zimechukuwa hatua kama hizo lakini hatukusikia tamuko kutoka kwake,Leo Tu Mayor wa Municipal ya Ilala amewasimamisha wahandisi mbona hatujasikia tamuko kutoka kwa kijo na mbowe,au kosa akitumbua magufuli ndiyo jipu linauma sana kuliko ukawa wakitumbua,hahahahaha waliberali bhana.
 
Hapa sitii neno NG'O nisije nikaonekana nampinga JPM bure!
 
Huyu Bi mkubwa katumwa na mafisadi siyo bure,Mbona halmashauri zinazoongozwa na ukawa zimechukuwa hatua kama hizo lakini hatukusikia tamuko kutoka kwake,Leo Tu Mayor wa Municipal ya Ilala amewasimamisha wahandisi mbona hatujasikia tamuko kutoka kwa kijo na mbowe,au kosa akitumbua magufuli ndiyo jipu linauma sana kuliko ukawa wakitumbua,hahahahaha waliberali bhana.
Fisadi ni mtu mdaya sana hatumtetei tunachosema sheria zifuatwe unakumbuka yale ya Samaki tulilipa bei gani?
 
Nchi ilipokua imefika kuna wakati mwingine uongozi wa namna hii umehitajika, wa TZ wamejijengea utatatibu wa vyeo kuwa ni ulaji na dili zipo nyingi serikalini kama asingetokea m2 wa kukatisha hii hali tungesikia nchi inasonga mbele sana wakati watu wa kawaida wanasota sana! Hapana lets see! Tukiona hatufai mwaaka wa 10 atatoka kama alivyotoka Mkwr. Maana katika huo utaratibu wa sheria hajaona manufaa yake pia.
 
rais we tumbua tu hata huyo mama ni jipu kama inawezekana mtumbue tu kwa vyovyote vile
 
Hizo hekima tulizotumia awamu ya nne kushuka chini ndo zilizotufikisha hapa tulipo sasa...
swala la mtu kusimamishwa kazi ni sehemu yoyote pale boss wako anapoona uwezo wako umeishia hapo cha msingi akulipe stahiki zako zote unazositahiri...
Mbona private sector wanaachishwa kwa stahili hizo hizo....!!!
 
Hivi kati ya JPM/Makonda na TAKUKURU/Police, ni nani mwenye uwezo na pengine mamlaka na weledi wa kumtuhumu mtu kuhusika na rushwa? Nashindwa kuelewa inawezekanaje Makonda anamtuhumu mtu kula rushwa wakati mtu huyo hajatuhumiwa na TAKUKURU? Matarajio yangu ni kwamba Makonda akihisi kuna vitendo vya rushwa mahali, anapaswa kuitaarifu TAKUKURU ambao kwa kufuata taratibu zao wanaweza kumtuhumu mtu kuhusika na rushwa au la. Makonda anaweza kumtuhumu/kumwajibisha mtu kwa underperformance na mambo kama hayo. Lakini kumtuhumu mtu kuhusika na rushwa, awaashirikishe TAKUKURU.

Magufuli kumsimamisha mtu kwa kuhisiwa kula rushwa, halafu kuvitaka vyombo husika, ikiwa ni pamoja na TAKUKURU, ni kuingilia uhuru wa vyombo hivyo kufanya kazi zake (It's like putting the cart before the horse). Ni kama vile anaviambia hivyo vyombo viandae ripoti kuhalalisha maamuzi yake na si ripoti ya kueleza ukweli/reality. Unatarajia TAKUKURU itakuja na ripoti ikisema mfanyakazi aliyesimamishwa ni clean na Rais alikurupuka kumsimamisha? Niungane na wale wanaopendekeza TAKUKURU kuongezewa mamlaka ikiwa ni pamoja na kuweka utaratibu ambao utazuia viongozi wa serikali na kisiasa ku-influence maamuzi yao.
 
Nimesikitishwa sana Bisimba. Majuzi hapa alipata ajali, kupitia magazeti tulimwona akiwa kwenye kitanda hospitalini. Anasahau wanawake wenzake wakiwa kwenye fahari yao pale MNH na matumbo wakiwa wamelala chini kwa sababu ya mafisadi. Eti anataka rais atumie busara kwa mijitu inayoenda kinyume na haki za binadamu. Sijui unaongoza nini hapo LHRC.
 
Mbona Mwaka jana wakati Kabwe analalamikiwa Bungeni Huyo Bisimba hakujitokeza?

Mh. Rais mimi ni UKAWA ila Nakuunga Mkono, maana haya ndio tuliyokuwa tunayataka wapinzani, sasa nashangaa hata baadhi ya wapinzani wanapinga, nadhani wapinzania kwa sasa hatujui nini tunachosimamia.
Mbona Watanzania siyo wazuri katika kusoma na kuelewa jambo hata kama ni dogo kama hili la Bisimba? Huyu hamtetei Kabwe bali anapinga utaratibu unaotumika kuwawajibisha watu. It is so simple. Alichoongea na ulichoandika ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Kwa issue ya Wilson Kebwe, Bi Simba ana hoja lakini kwa Anne Kilango hapana. Anne Kilango sio mtumishi bali kateuliwa na rais kwa hiyo she was serving at the pleasure of the president. Vyeo vinavyongukia kwenye kundi la Anne Kilango wanaweza kuondolea bila hata ya kutoa sababu. Ndivyo ilivyo duniani kote.

Na huyo Kebwe ni kitu gani hakijulikani kuhusu utendaji wake?
Hata Anne Kilango siyo kwamba anamtetea. La hasha! Anchodai ni kwamba Kilango alijua kafukuzwa kazi kutoka kwa watu waliompigia simu. Baada ya rais kujua amesema uongo, angeweza kumtuma Katibu Mkuu Kiongozi ampigie simu na kumwambia ajira yake imefutwa. Hamtetei hata kidogo.
 
Back
Top Bottom