Rais Magufuli avuruga wengi

Rais Magufuli avuruga wengi

Acheni ushabiki nyie kwani yeye Kabwe alipokabidhiwa ofisi hayo hakuyaona. Kwanza anashutumiwa tokea alipokuwa Mwanza. Wengi wape sisi wananchi tumeridhika labda nyie na kituo chenu.
watu kama nyie hamsomi maoni ya wengine au uelewa wenu ni mdogo.watu hawatetei ufisadi wa Kabwe au uzembe wake,tikisa tena akili pengine ni shake before use.Hoja ni udhalilishaji aliofanyiwa,na nchi hii ina sheria na taratibu za ku-deal na watumishi.
 
Hoja yangu umeilewa lakini? Hoja yangu haina uhusiano wowote na ulichoandika hapa. "Jambazi la CK [sic] la siku nyingi" ni nani? Na hilo jambazi au mtu kuwa kwenye ripoti ya CAG kuna uhusiano gani na hoja yangu kuhusu umuhimu wa kuzifanya taasisi kama TAKUKURU kuwa na more autonomy? Vijana wa siku hizi hapa JF hamtaki kabisa kusoma hoja na kuzielewa. Kwa nini?
Hawana uwezo wa kusoma, hata novel moja hawamalizi, tamthilia zote wanasoma uchambuzi ulioandaliwa bila kusoma kitabu na kumaliza. Watapata wapi uwezo wa kusoma na kuelewa wakati wanakaririshwa ili wapate A tu? Tena hawaelewi kama na wao ni majipu ya elimu wanapaswa kutumbuliwa.
 
Kwani sheria inasemaje kuhusu namna ya kumfukuza kazi mtuhumiwa ufisadi?
Huwezi kumfukuza kazi mtuhumiwa, utamsiamisha ili uchunguzi ufanyike kwa uhuru. Ili aweze kuwa na imani kwamba uamuzi huo umetoka katika mamlaka iliyomteua au iliyomuajiri, katika kumsimamisha ni lazima aandikiwe barua ikimjulisha jambo hilo. Hiyo itamsaidia kama ushahidi kuwa hakufika kazini kwa sababu za utoro bali kwa kuwa aliamriwa hivyo. Hivi ukipigiwa simu na mwandishi wa habari kwamba "umesimamishwa kazi mara moja kuanzia leo na unatakiwa ukabidhi ofisi", na wakati huo hauna taarifa ya maandishi kutoka kwa mwajiri wako ambaye kila siku amekuwa akisisitiza uwepo kazini kuwatumikia wananchi, utaamini lipi; utaiacha ofisi mara moja kwa kufuata maelekezo ya mwandishi wa habari au utaendelea kuwapo ofisini kama ambavyo umekuwa ukisisitizwa na mwajiri wako?

Hakuna namna ya kukwepa hapo, huwezi kumsimamisha kazi mtu ambaye hayupo eneo la tukio wakati unamsimamisha, halafu ukajiona uko sawa tu
 
watu kama nyie hamsomi maoni ya wengine au uelewa wenu ni mdogo.watu hawatetei ufisadi wa Kabwe au uzembe wake,tikisa tena akili pengine ni shake before use.Hoja ni udhalilishaji aliofanyiwa,na nchi hii ina sheria na taratibu za ku-deal na watumishi.
Jiongeze kidogo na wewe watu kama kabwe kwa ufisadi alioufanya alitakiwa apigwe risasi hadharani afie mbele huko ni watu wangapi wamekufa mahospitalini huko kwa kukosa huduma huku watu wachache wamejilimbikizia mapesa ya umma bank za ndani na nje ya nchi,wanaishi maisha ya kifalme,wanatibiwa nje .Ni watu wangapi wamefunga biashara zao kwa kulipishwa kodi kubwa alafu hela hzo zinaingia kwenye mifuko ya watu
 
Back
Top Bottom