Rais Magufuli avuruga wengi

Rais Magufuli avuruga wengi

Matokeo haya kumbua majipu mtayaona baadaye kwa sasa, tuweke akiba ya maneno tu!
 
Wafuasi wa Lowasa hivi bado MNA matumaini? Mafisadi bana! Mna mbinu nyingi za kujilinda.
 
Tupo vitani kwa sasa,wacha tuinyooshe nchi,vita ikipoa ndio tutaangalia kama sheria ilifuatwa au la
 
Maelezo yangu ni mafupi kama unauwezo kwa kufikir hoja ipo endeleza na hoja wanufaikaji wa hao majipu mnatetea ujinga bila udikteta nchi hii haiwezi kwenda
 
Hivi lile jengo lilivyo anguka maeneo ya chang'ombe wakati pm ni EL alichukuliwa hatua gani mbele ya kadamnasi
 
Nchi hii bila kwenda mwendo huu wa Rais wa kutumbua Jipu mahali popote nchi haiwezi kwenda.Anaesema nchi Aitaenda Yeye apishe Watu wapite.
 
Mimi nadhani Kisijo angesema kuwa sheria fulani kwa kuweka kabisa vifungu vipi vilivyokiukwa angekuwa amefanya jambo la maana sana. Sababu hakuna defamation yoyote iliyofanyika, kama ni ugonjwa hata ukipewa Barua unaweza ku collapse pia. Hii ndiyo njia sahihi kwa sasa wakati wa jk amefuata sana taratibu , but mambo yalikuwa hovyo tu. Kwa sasa hii ndiyo hatua sahihi
 
Yaan bado watu mnatetea sheria kwenye ukweli acheni ujinga sheria nyingi ziliundwa kutetea wachache tuzipuuze ndio maana tunadai katiba ndio maana magu anapuuza kutetea wengi tumuunge mkono
 
Kwa issue ya Wilson Kebwe, Bi Simba ana hoja lakini kwa Anne Kilango hapana. Anne Kilango sio mtumishi bali kateuliwa na rais kwa hiyo she was serving at the pleasure of the president. Vyeo vinavyongukia kwenye kundi la Anne Kilango wanaweza kuondolea bila hata ya kutoa sababu. Ndivyo ilivyo duniani kote.

Na huyo Kebwe ni kitu gani hakijulikani kuhusu utendaji wake?
Wilson Kabwe na Anne Kilango wote walikuwa wateule wa raisi (JK & JPM). Wote walikuwa watumishi wa umma.
 
Hata kwa Kabwe hana hoja.Hivi anataka mtu wa hovyo kama Kabwe aheshimiwe.Kwa lipi hasa.Kama yeye hakuwaheshimu watanzania,kwa nini yeye aheshimiwe.Ameanza kujidhalilisha mwenyewe,na sisi tunamalizia.
Kwa issue ya Wilson Kebwe, Bi Simba ana hoja lakini kwa Anne Kilango hapana. Anne Kilango sio mtumishi bali kateuliwa na rais kwa hiyo she was serving at the pleasure of the president. Vyeo vinavyongukia kwenye kundi la Anne Kilango wanaweza kuondolea bila hata ya kutoa sababu. Ndivyo ilivyo duniani kote.

Na huyo Kebwe ni kitu gani hakijulikani kuhusu utendaji wake?
 
Yaan bado watu mnatetea sheria kwenye ukweli acheni ujinga sheria nyingi ziliundwa kutetea wachache tuzipuuze ndio maana tunadai katiba ndio maana magu anapuuza kutetea wengi tumuunge mkono
Naomba nikulizembona kwenye mambo mengine sheria zinafuatwa?
 
Ieleweke kuwa Kabwe hajafukuzwa kazi Bali kasimamishwa
Hata hivyo namna ya kumsimamisha haikuwa nzuri. Mh raisi anapaswa kuwaheshimu walio chini yake. JPJM amemhukumu Kabwe mbele ya hadhira na katika namna dhalili isiyofaa kwa binadamu yeyote.

Anyway, tulimtaka wenyewe sasa tumvumilie!
 
hv watanzania wanataka nn? binafsi mtazamo wangu kwa sasa hatuhitaji sheria ifuatwe! aliyeharibu atolewe haraka kupisha uchunguzi tena mbele za watu maana naamini akiwekwa hadharani ndo ataelewa katudhulumu wa tanzania! Magu goooo gooooo goooooooo goooo
 
Back
Top Bottom