Rais Magufuli aunda kamati ya pili kuchunguza madini yaliyopo kwenye mchanga, kuapishwa kesho

Hao wanaoteuliwa wanafanya kazi bure au ndio wanapewa nyumba,gari,mshahara,marupurupu?
 
Dikteta uchwara! Nchi iko kwenye taharuki kubwa kuhusu matukio ya kutisha yaliyotokea nchini hivi karibuni badala ya kuzungumzia hayo na kutufahamisha nini kinachoendelea nchini anaendelea dharau zake na usanii! Kama alidhani atatuburuza Watanzania wa 2017 vile atakavyo basi imekula kwake. Hatuwezi kukubali kunyanyaswa kuuwawa kinyama na pia kuteswa ndani ya nchi yetu.

Rais Dkt John Pombe Magufuli Ameteuwa Wajumbe Wa Kamati Ya Pili Itakayofanya Uchunguzi Wa Madini Yaliyomo Kwenye Mchanga
[HASHTAG]#HapakaziTu[/HASHTAG]

View attachment 493580
 
Hivi huko vyuoni wadogo zetu watafundishwa na nani ...nahisi kama vile amebaki Dr. Bana pekee!
Anatafuta nae kukimbia udsm kwa nguvu au hujaona kila kukicha kumtetea mkuu wa inchi hata akikosea...chezeka umri unapoelekea kustaafu
.
.
.
Kyenekyaka nkighanile une
 
najikuta habari za Rais nimezichoka kishenzi yaan
UNAZICHOKA LABDA WEWE ULIKUWA UNAFAIDIKA. YAANI KABISA KABISA KUNA WATANZANIA WENZETJ KAMA WEWE UNAONA ANACHOFANYA RAIS JUU YA HUO MCHANGA NI UPUUZI? ILI PESA APELEKE KWA TUMBO LAKE AU? USIMKATISHE TAMAA TUJARIBU KUMPA SUPPOrt yetu. hii itawapa ujumbe kuwa kule ni kugawana kihaki ili nasi tufaidike naye mwekezaji afaidike. IKIISHA HAPA NAOMBA ATUFUATILIE NA GESI NACPIA HUU MKATABA WA KULETA MAFUTA NCHINI BEI SOKO LA DUNIA TUNAONA KWA PIPA INAPUNGUA ILA KWETU INAPAA TU? SASA UHUSIANO KAMA NI MKATABA WA KILA MWEZI SI INGEKUWA INASHUKA NA KUPANDACKADRI YA SOKO LA DUNIA?
 
Wakati wa kampeni alituahidi kwamba hataunda kamati sasa kasahau anazifyatua hasa
 
Mkuu wetu anahangaika kweli kwa Tanzania yetu. Lazima kuna kitu amegundua anatafutia ushahidi.

Tusubiri.
Tatizo sio kupata ushahidi ila issue ni sheria zetu mbovu zinazopitishwa kishabiki, kichama, na wabunge wetu wapendwa tulio waamini.
Maana hata kama ni vipi marahaba walio kubaliana wanapewa.
 
Bwana Mapesa: Mimi ni binadamu, kama mchanga wa dhahabu una thamani kuliko mimi, basi huo mchanga una thamani kubwa kuliko wewe pia, maadamu wewe nawe ni binadamu. Au mwenzangu siyo binadamu?
 
Back
Top Bottom