Rais Magufuli aunda kamati ya pili kuchunguza madini yaliyopo kwenye mchanga, kuapishwa kesho

Naomba kuuliza kiroho safi tu. Hivi Waislam wamemkosea nini Huyu bwana. Note: Mimi ni Mkristo.
 
Hivi huko vyuoni wadogo zetu watafundishwa na nani ...nahisi kama vile amebaki Dr. Bana pekee!
Wewe usiwe wa ajabu.Kuwa mjumbe wa tume hakumwondolei mtu ajira au kazi zake.Unadhani waadhiri hufanya kazi ya kufundisha darasani tu? Fahamu kuwa taasisi za elimu ya juu ni pamoja consultation centres, research centres n.k
 
Ni hatarii! Kamati mbili kuchunguza suala moja, ni jambo jema kama lengo in kupata ukweli juu ya huo mchanga, nakumbuka aliahidi kuunda na nyingine ya siri yaani zitakuwa kamati tatu kwa ajili ya suala hilohilo, tatizo litakuja kila kamati itakapokuja na majibu tofauti juu ya suala moja hapo MKULU itabidi aunde kamati ya NNE kuchunguza majibu tofauti ya kamati tatu za mwanzo, ni hatarrr!
Bavicha wengi man akili kiduchu.Hausomi ukaelewa lakini kiherehere cha kuchangia hii.
 
Kweli aseee tumechoka na hao Dr na Prof isipokuwa Dr Banna pekee naona walipishana na mfalme!! Tuechoka sana na tumemchoka sizonje na first lady wa taifa bashite
 
Kweli aseee tumechoka na hao Dr na Prof isipokuwa Dr Banna pekee naona walipishana na mfalme!! Tuechoka sana na tumemchoka sizonje na first lady wa taifa bashite
Aisee..., ila tumia neno umechoka sio tumechoka. Acha kuchosha wasiochoka!
 
Isome uzuri ile barua kutoka ikulu ndugu ungejua nini ukoment
Hapo ndo upate picha halisi ya hawa watu wanajiita bavicha, hawasomi wakaelewa, wanachangia vitu hata hawajui.

Wengine hawasomi hata thread mama kujua inahusu nini bali anaanzia pale anapokutana na comments za bavicha mwenzake
 
Ndio maana tunasema na kuomba wachunguze hadi punje za mchanga kila kitu kuhusu migodi inayoshutumiwa ili mwisho wa siku tupate jibu sahihi. Majibu haya Yafafnuliwe kwa wananchi kwa ufasaha.
Ile tume ilikuwa haifanyi anachokifanya Rais sasa, Ili ilikuwa inachunguza kuona kama Kusafilisha cupper/gold concentrate ni feasible? na je kwa nini isijengwe hapa. Hii inaenda mbali zaidi ya Concentration za dhahabu au copper, Inapita hadi kwenye mikiataba na sheria, Inaangalia mahesabu yao yanasadifu kile kinachotakiwa kulipwa na mambo mengine lukuki madogo na makubwa. Ndio maana tunasema ikate mzizi wa fitna. Ni aibu Tena aibu kubwa kwa wakazi wa Kahama mjini wengi kuamini chini ya mji wao kuna watu wanaendelea kuchimba wakati shimo la buzwagi linaonekana hadi Googlemap na sio underground.Majibu mazuri yatapunguza haya manung'uniko kwa sababu Uongo umekuwa mwingi kuliko uhalisia.

ndio maana tunasema majibu ya Hizi tume wenda yakaifanya tanzania kuwa na uelewa mkubwa sana juu ya nini kinaendelea huko na kufuta MYTH zote...
Well said
 
Binafsi naona ni kupoteza fedha na muda tu, miaka yote hiyo mlikuwa wapi? Siasa hizi acha tu.
 
Masikini huyu mtu anatapatapa, na mimi navyojua majibu ya hii tume yatakuja kama matokeo ya Faru John.
 
Huyu ni mwendo wa teua tengua, wakati aliopita alikuwa yeye na tume zisizo na majibu.
*Dah! Wabongo hatujambo kwa kuwatafutia ulaji makada walokosa teuzi*
 
kwahiyo kamati ya kwanza imetenguliwa au?

nafikiri baada ya hapo itaundwa kamati ya 3 itakayoundwa na po-leece, taah-kuukuu-ru, kisha itaundwa tume kufanya uhakiki wa kamati zote
 
Back
Top Bottom