Safi sana mkuu.Rais Dkt John Pombe Magufuli Ameteuwa Wajumbe Wa Kamati Ya Pili Itakayofanya Uchunguzi Wa Madini Yaliyomo Kwenye Mchanga
[HASHTAG]#HapakaziTu[/HASHTAG]
Na bado unachangia.najikuta habari za Rais nimezichoka kishenzi yaan
mkuu hii ni muhimu sio kwako tu bali hadi kwa watukuu wako.najikuta habari za Rais nimezichoka kishenzi yaan
eeeh!Na bado unachangia.
Hapa unafanya nini sasa????najikuta habari za Rais nimezichoka kishenzi yaan
Rais Dkt. Magufuli ateua kamati ya pili itakayofanya uchunguzi wa kiasi cha madini yaliyopo kwenye mchanga uliopo maeneo mbalimbali nchini.
kuwepo hapa na kuzichoka habari za Rais vinahusianaje!!?Hapa unafanya nini sasa????
Alafu huyu Dr bana sijui alimfanyia nini Rais! hata kwenye bodi tu kagoma kumteua, ingawa amejitoa ufahamu kuunga chochote anachokifanya hata kama ni pumba.Hivi huko vyuoni wadogo zetu watafundishwa na nani ...nahisi kama vile amebaki Dr. Bana pekee!