balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,566
- 13,291
Ukiona hivyo ujue umeelewa. Ndo haswa lengo la fasihi hiiUandishi mzuri unaandika neno kirefu na baadaye ufupisho wake
Ukiona hivyo ujue umeelewa. Ndo haswa lengo la fasihi hiiUandishi mzuri unaandika neno kirefu na baadaye ufupisho wake
Imwage hapa jukwaani, lazima ataiona tu!Nawezaje kumfikishia Mheshimiwa Raisi CV yangu? Nahitaji kutumia taaluma yangu kusaidia shirika lolote la umma
Jua kujipendekeza tu kwa wanaccm.....Nawezaje kumfikishia Mheshimiwa Raisi CV yangu? Nahitaji kutumia taaluma yangu kusaidia shirika lolote la umma
kwani wewe ni profesa??
Itume kwa katibu mkuu kiongoziNawezaje kumfikishia Mheshimiwa Raisi CV yangu? Nahitaji kutumia taaluma yangu kusaidia shirika lolote la umma
Mrembo kama huna hata masters utasubiri sanaIpo siku yangu na Mimi niTateuliwa