Rais Magufuli ateua Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Dkt. Titus Kamani akumbukwa

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,480
2,000


Wadau walimpigia chapuo sana hapa JF:

Dr.Titus Kamani anastahili kuiongoza NCU

Rais Magufuli mrudishe Dr. Titus Kamani wizara ya mifugo bado anahitajika

Ni mteule mmoja tu ambaye hana elimu ya kiwango cha PhD!

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa nafasi zifuatazo leo 6/12/2017

1.Monica Mbega: Mwenyekiti wa bodi ya mazao mchanganyiko

2.Prof Egid Beatus Mubofu: Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya mbolea Tanzania (TFC)

3.Prof Abiud Kaswamila: Mwenyekiti wa bodi ya mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro

4.Prof. Esther Hellen Jason: Mwenyekiti wa bodi ya mamlaka ya maabara ya mkemia mkuu wa serikali

5.Dr Kenneth Mdadila: Mwenyekiti wa bodi ya taasisi ya kifedha ya Self Microfinance Fund Limited

6.Dr.Titus Mlengeya Dismas Kamani: Mwenyekiti wa tume ya maendeleo ya ushirika Tanzania
 

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
1,772
2,000
naona Dr Kenneth mdadila nae Nyota yake inaanza kung'aa.sijui hapo Idaraa ya uchumi udsm kabaki nani ambae mpaka sasa hajateuliwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom