Rais Magufuli ateua Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Dkt. Titus Kamani akumbukwa

Nachoipendea awamu hii haina udini kabisa. Udini kaondoka nao yule mzee wa Megaport
 
Ha ha ha ha eti Dr. Kamani akumbukwa, Bi. Monica Mbeka je? Mkuu wa mkoa mstaafu
 
Nawezaje kumfikishia Mheshimiwa Raisi CV yangu? Nahitaji kutumia taaluma yangu kusaidia shirika lolote la umma
Jua kujipendekeza tu kwa wanaccm.....

Pili uwe na roho mbaya ya kuonyesha unawachukia wapinzani kikweli kweli, wala si kwa maigizo.

Hiyo inakuwa CV tosha ya kulamba post ndani ya serikali ya CCM ya awamu ya 5
 
Enzi za JK kama mtu hakula pesa basi ana gundu lakini pia Leo hi I mtu asipokula uteuzi basi ni basi hana bahati
 
Back
Top Bottom