Habari wakuu
Magufuli: Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri.
Kiidadi huu ni mwanzo mzuri wa Serikali kutambua hitaji la kubana matumizi.
WIZARA
Nishati na madini: Waziri ni Muhongo, Naibu
Nadhani uteuzi huu nikujitafutia matatizo na mizogo kama awali na waheshimiwa wabunge!
Prof. Muhongo hana hadhi tena kwa kauli hapo chini na hasa Sakata la Escrow.
[h=3]Waziri Prof Muhongo asema fedha za Escrow si mali ya ...[/h]www.mwananchi.co.tz/...Prof-Muhongo...za-Escrow...
Translate this page
Nov 27, 2014 - Waziri Prof Muhongo asema fedha za Escrow si mali ya umma, adai bado ... ilivyochota kiasi kikubwa cha pesa kama malipo ya kazi hiyo tangu ...
Habari: Nape Nnauye
Nape huyu huyu wa Lumumba! kweli Raisi hapa hata kama ulishinikizwa au mapenzi yako basi usingemweka kwenye wizara hii bali ningeshauri umpeleke huku; na huyu umlete huku-mtazamo wangu tu kwa jinsi ninavyowaona kiuwezo na mahitaji ya wizara husika.
Mazingira: Makamba, naibu Makamba
Hapo chini ni vizuri ukawaleta watu toka nje ya Wabunge waliopo-teua mtu safi kuwa Mbunge na mpe Kazi.
Utalii: Waziri bado
Fedha na mipango: Waziri bado,
CCM ni ile ile....ohhh ni ile ile....hivi UKAWA huu wimbo hamkuuelewa!? Si mlisema Dkt Magufuli anatekeleza sera zenu? Basi angechukua na nyumbu kadhaa wa huko UKAWA na kuwaweka kwenye baraza lake...Hahaha
Baraza zuri nimelipenda limejaa majembe tupu. Wabaya wa ukawa wengi wapo ndani hii itawasumbua sana UKAWA kisaikolojia. Tunasubiria utendaji.
nape nnauye.michezo utamafuni sanaa
Dereva mpya konda Wa Zaman
Kajaza watu wa kanda ya ziwa na kanda ya kati,ukabila mtupu!
wizara ya elimu yavunjwa rasmi!
Kuna wizara bado wataingia tu,Wakuu salama!.
Nimeona majina ya mawaziri wapya ila sijaona jina la Nyalandu na Ridhiwani. Ni kweli hawapo? Au ni macho yangu...
wote unaowasema walishapewaga nafasi na wakavurunda... huyo anyejifanya mzalendo kwa kuvaa bendera nje ndani sijaona alichokifanya awamu iliyopita, huyo makamba ndo anajifanya ndo kijana mwenye vision za maana na kujifanya mwenye hekima lakini hamna kitu... alivokuwa mawasiliano amewaacha mitandao kutunyinya vilivyo ... ebu tuache ushabiki wa ki itikad katika mambo ya msingi.... haya huyo nape kapewa habari...nape hafai... haujui ku deliver taarifa kwa public... anajibu kwa nyodo... nakumbuka baada ya ushind wa ccm october, mwandish wa gazet la mwananch alimuuliza swali kuhusu serikali yao mpya.... alichojibu ni kuwa "nendeni mkawaulize UKAWA maana ndo mlikuwa mnawaandika katika magazeti yenu,,, na sisi ndo tushashinda"mkuu acha kulaumu tu.
Umewahi kufanya nao kazi hao watu.
Unajua potentials zao kiutendaji.
Usione mtu anateuliwa au anafika hatua hiyo ukadhani ni upendeleo tu.
Achana na siasa za mitandao.
Vijana kila siku tunaomba tupewe nafasi, kapewa makamba kijana tunalalamika kwa nn...???
Ushauri wangu hebu tuwape nafasi, tupime utendaji wao baada ya kazi sio tupime utendaji kabla ya kazi
Elimu kamuweka nani jamani?
Kuna wizara bado wataingia tu,