Rais Magufuli apinga uzazi wa mpango, asema wananchi wanapotoshwa

Ng'ombe anatolewa kizazi ili iweje? Mbona Sioni mantiki hii?
 
Magufuli yuko sahihi kabisa,uzazi wa mpingo ni genocide inayoendelea kimya kimya.Kwa wale wanaojua au ambao wanajua the Eugenics Programme, this is it.Mimi nawashangaa wataalam wetu wa afya.Niamini kwamba hawajui programme hiyo au wanajua ni collaborators katika hiyo genocide.Ndio maana mimi siku hizi nimeacha kabisa kuwaamini wanaoitwa wataalam wa afya,they are so ignorant of what is going on behind the scenes,which is even more important than the ovious.Una ka-digree kako
ka-udaktari wa binadamu, basi jiongeze usikubali kuwa caged na kaelimu ulikopata!Sio kila kitu ulichofundishwa chuoni ni sahihi na kweli,vingine ni magumashi for their own agendas.Mengi tuliyofundishwa ni fake kabisa I have discovered.Kwa mfano tiba za sukari na cancer ni fake kabisa!Yaani mpaka Rais aingilie kati wataalamu wetu hawajui kinachoendelea na wapo!Aibu sana.Hebu angalieni video zifuatazo muone hawa jamaa walivyotuingiza mkenge.









Hivi hawa wanaoitwa wataalam wetu wa afya wanayajua haya kweli?Sidhani.







Fuata link ifuatayo uone tiba realistic ya Kisukari and it works perfectly.

A 'cure' for type 2 diabetes: Dr Jason Fung's 2 easy steps - FOODMED.NET
 
Back
Top Bottom