Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,557
- 139,899
Hayo unayazungumza mwenyewe udimezeshe watu maneno yako. Huyo tupe unafuu wa aliyepita kwa mchanganuo maana hayo ni maneno yako"Hakuna kitu kwa huyu jamaa,bora hata li-Kikwete,linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowasa apite"...."Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani,mtu OC toka Novemba hazijaja,za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".....Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini,ni ofisi zote za umma na binafsi,ni kada zote,kuanzia mabosi mpaka wafagizi.Kauli za kujutia jutia tu.Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira,labda bajeti ijayo
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa,bora hata li-Kikwete,linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowasa apite"...."Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani,mtu OC toka Novemba hazijaja,za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".....Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini,ni ofisi zote za umma na binafsi,ni kada zote,kuanzia mabosi mpaka wafagizi.Kauli za kujutia jutia tu.Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira,labda bajeti ijayo

Amiin na Mwenyezi Mubgu amuongoze zaidi pia amuepushie watu wanafiki...Namuombea maisha marefu kwa kasi hii