Nadhani mlichofanya wakati wa kampeni hakikuwa sawa.Tunasubiri ziara yake ya mbeya maana hatujawahi kumuona huku tangu awe raisi
Kumbe ni Kweli kuwa ni mtu wa visasiNadhani mlichofanya wakati wa kampeni hakikuwa sawa.
Tutarajie amri ya kujengwa uzio kuzunguka mererani yote kudhibiti utoroshwaji madini
Arusha. Rais John Magufuli leo Jumatano anatarajiwa kutua Arusha kwa ziara maalumu ambapo mapema asubuhi atafungua barabara ya Kami kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia) hadi Mererani wilayani Simanjiro.
Katika taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema Rais Magufuli anatarajiwa kupokewa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro saa mbili asubuhi.
Gambo amesema baada ya kupokelewa atakwenda Mererani Mkoa wa Manyara kuzindua barabara ya Kia-Mererani yenye urefu wa kilomita 26.
Amesema baada ya uzinduzi huo atazungumza na wananchi na baadaye kurejea Arusha. Gambo amesema Rais Magufuli anatarajiwa kutoa kamisheni kwa maafisa waliohitimu mafunzo ya jeshi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Jumamosi.
"Napenda kutumia fursa kuwaomba wakazi wa Arusha kujitokeza Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Septemba 23 kuanzia saa 12:30 asubuhi,"amesema.
Mkuu hata mimi nasubiri leo atatoa tamko lipitunasubiri tamko
Goal hapo ni kamisheni monduli zngine mbwembwe tuMkifika hiyo 12:30 Asbh..yeye ataingia SAA NNE akiwa ameshiba..atawa chamba kweli kweli as if aliwapa ofa ya vitumbua na maandazi! hivi matukio haya Arusha ni coincidence? si kuna mkutano wa TLS??
Arusha. Rais John Magufuli leo Jumatano anatarajiwa kutua Arusha kwa ziara maalumu ambapo mapema asubuhi atafungua barabara ya Kami kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia) hadi Mererani wilayani Simanjiro.
Katika taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema Rais Magufuli anatarajiwa kupokewa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro saa mbili asubuhi.
Gambo amesema baada ya kupokelewa atakwenda Mererani Mkoa wa Manyara kuzindua barabara ya Kia-Mererani yenye urefu wa kilomita 26.
Amesema baada ya uzinduzi huo atazungumza na wananchi na baadaye kurejea Arusha. Gambo amesema Rais Magufuli anatarajiwa kutoa kamisheni kwa maafisa waliohitimu mafunzo ya jeshi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Jumamosi.
"Napenda kutumia fursa kuwaomba wakazi wa Arusha kujitokeza Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Septemba 23 kuanzia saa 12:30 asubuhi,"amesema.
Hivi alishafika? Endeleeni kutupa mrejesho basi..

Mbinu ya zama za mawe,Tutarajie amri ya kujengwa uzio kuzunguka mererani yote kudhibiti utoroshwaji madini
hahaTunasubiri ziara yake ya mbeya maana hatujawahi kumuona huku tangu awe raisi
Nilisikia anakuja mwezii huu ila hata dalili zijazionaTunasubiri ziara yake ya mbeya maana hatujawahi kumuona huku tangu awe raisi
Watu wa Arusha nawaaminia. Sanaa za makinikia sidhani kama zitazaa matunda. Muda utasemaGambo ameandaa wanafiki wengi kurudisha kadi za vyama vyao mbele ya mkuu wake.
Tena hili tukio ndio limeandaliwa kwa mbwembwe kwelikweli.