Lakini usisahau kuwa yeye pia ameumbwa na Mungu huyu huyu tunayemwamini na Mungu anahubirii "mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe"
Hivi kwa chuki na visasi vya hali ya juu anavyovifanya huyu Jiwe kwa wapinzani wake, akilihusisha Jeshi "lake" la Polisi kuwabambikia kesi wahusika, unadhani huyu Mungu tunayemuamini atakaa kimya kweli??
Amini nakuambia hakuna chenye mwanzo kikakosa kuwa na mwisho