Tetesi: Rais Magufuli anatamani nchi yetu iwe na Katiba ya nchi mbovu zaidi ya hii tuliyo nayo sasa!

Huyo agwe alimpiga na bakora mgombea mwenzie wa CCM hadi akazirai, lakini bado wabunge wa CCM wakampa jujumu zito zaidi la kuingoza Bunge

Ndiyo maana tunaona kila wakati akiwatimua wabunge wa upinzani
 
Kwani katiba inapatikanaje? Kama hilo likionenekana linafaa na likapitishwa katika katiba kuna shida gani? Kama huo mpango ukipitia utaratibu na walio wengi (wananchi) wakakubali liwemo katika katiba itakuwa ndo katiba yenyewe wala si uvunjaji wa katiba. Sina upande wowote kwenye suala hili lakini likifuata utaratibu na likapita hakuna shida hata hao JWTZ watailinda katiba hiyo hiyo iliyoongeza muda wa urais kwa sababu ndiyo katiba itayokuwepo.

Ikumbukwe kuwa zilikuweko katiba nyingine kabla ya hii ya 1977 zilifanyiwa mchakato na zikabadilishwa kwa utaratibu uliokubalika; hivyo sio tatizo kubadili katiba hata leo isipokuwa tu utaratibu sahihi wa hayo mabadiliko ndo kitu cha msingi na cha lazima kufanyika.

Mchakato wa katiba ni kujumuisha mawazo ya wengi inagwa ya wachache pia yanatakiwa yasikike na kuheshimiwa kama tulivyozoea kikawaida (wengi wape). Ikitokea mawzo ya kuongeza muda yakawa ya wengi yatapita tu hata kama hayaendani na unachotaka wewe na hilo halina shida.
 
Tuko milioni 58+ kwann kuvunja katiba as if tuna nakisi yawatanzania wanaoweza kuongoza who is magufuli Kati ya watu milioni 60 ?
 
Ndiyo tatizo la watu wanaopenda "kujimwambafai"

Kwake yeye kila kitu anakijua yeye, na watanzania wengine wote ni wajinga na wapumbavu
 
Moja ya sifa kuu ya Uzalendo feki ni ULAFI na ULEVI wa MADARAKA.
Mtukufu Rais dokta muweza wa yote na asieshindwa kwa lolote.
Ameshaonja na kanogewa utamu wa kuabudiwa na kusujudiwa na WAPUMBAVU wake MaCCM kama anavyo waita mwenyewe. Lazima atabadirisha katiba akafie madarakani.
 
Hao "Praise and worship team for Magufuli" ndiyo watakauotuharibia nchi..........

Pamoja na maovu mengi anayoyafanya Jiwe katika kipindi chake cha utawala, bado wanatokea "wajinga" wachache wanadiriki kupendekeza, eti aongezewe muda wa kutawala, kinyume cha Katiba yetu ya nchi inavyotaka
 
Ni nguma sana sana kwa kiongozi asiyependa kufuata katiba au kuamini ktk demokrasia na uhuru wa jamii ktk kupata habari kuruhusu uwepo wa katiba mpya.
 
Mnat
Mnatengeneza mazingira ya kihalifu makusudi ili watu wajivue kwenye dhambi zenu muda c mrefu wataamua kuelea kwenye bahari ya dhambi pamoja nanyi yetu macho.msije mkaomba po.
Maskini bwana , kijana usijifanye kichwa maji jifanye kelele humu ukaona upo mbinguni ,raia ww

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya sifa kuu ya Uzalendo feki ni ULAFI na ULEVI wa MADARAKA.
Mtukufu Rais dokta muweza wa yote na asieshindwa kwa lolote.
Ameshaonja na kanogewa utamu wa kuabudiwa na kusujudiwa na WAPUMBAVU wake MaCCM kama anavyo waita mwenyewe. Lazima atabadirisha katiba akafie madarakani.
Ume-hit penye ukweli Mkuu Trillion

Huyu Jiwe kwa tabia aliyo nayo ya kitaka kusifiwa na kuabudiwa, hakika atanogewa na kutaka kubadili Katiba

Tumeshaanza kuziona indicators, za UCHAFUZI, walilouita uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa watawala wetu hawa kudai kuwa CCM imeshinda kwa asilimia 99.9!

Wanapora ushindi kwa nguvu wakijipa matumaini kuwa hakuna atakayefanya fyoko..........

Wanajiaminisha hivyo kwa kuwa wanajua wanalo Jeshi "lao" la Polisi, wanaloweza kuliamrisha limshughulikie yeyote atakayewapinga
 
Back
Top Bottom