Hahaaaaaaaa muanzisha mada ni upupuKwahiyo tumuamini kuwa:
Sadamu alikuwa raisi wa
Kuwait ?
Kwamba sukari kaikuta sh 5000/=
Kwamba mwanza wasibomolewe kisa walimpa kura?
Kwamba Bashite hana vyeti feki?
nk
Kwahiyo tumuamini kuwa:
Sadamu alikuwa raisi wa
Kuwait ?
Kwamba sukari kaikuta sh 5000/=
Kwamba mwanza wasibomolewe kisa walimpa kura?
Kwamba Bashite hana vyeti feki?
nk
Nyie mnaotea otea na kukisia tu, lkn yeye kama Raisi wa nchi na mkuu wa Ulinzi na Usalama vile vile kama Mkuu wa CCM anajua kinachoendelea chini chini kabla hata nyie mnaemtegemea Mangi Kimambi kuwaambia.
Hivyo mnaweza kubeza, kukebehi na kumuita majina lkn ataibuka mshindi na nyie hamtapata kitu kwani ana infos nyingi sana khs kinachoendelea chini chini, ...
Reli ya mwisho kujengwa nchini ilikuwa 1905! Ndicho anachojua?Haupaswi kuamini chochote ila ndiyo hivyo anajua mengi klk nyie!
Ungesema Rais anaropoka bila kujua ungeeleweka.Wa2 wanaropoka2 bila kujua chochote
Mwambie baba atakwelewa mtoa post,tuelewe ujinga huu pambafuKwahiyo tumuamini kuwa:
Sadamu alikuwa raisi wa
Kuwait ?
Kwamba sukari kaikuta sh 5000/=
Kwamba mwanza wasibomolewe kisa walimpa kura?
Kwamba Bashite hana vyeti feki?
nk
Na risasi za ya Lisu anayajua?Nyie mnaotea otea na kukisia tu, lkn yeye kama Raisi wa nchi na mkuu wa Ulinzi na Usalama vile vile kama Mkuu wa CCM anajua kinachoendelea chini chini kabla hata nyie mnaemtegemea Mangi Kimambi kuwaambia.
Hivyo mnaweza kubeza, kukebehi na kumuita majina lkn ataibuka mshindi na nyie hamtapata kitu kwani ana infos nyingi sana khs kinachoendelea chini chini, ...