Tunaposema CCM ina Wenyewe muwe mnaelewa, Aliyekuwa Mbunge kateuliwa tena kugombea Ubunge, nyie wengine endeleeni kuvishwa fulana na kofia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,791
218,420
Katika vyama vya Kiafrika vinavyodharau Wanachama wake , basi ccm inaongoza kwa mbali sana , Pamoja na chama hicho kuwa na wanachama wengine huko Mbarali , lakini chama hicho kimeamua kuwadharau na kuamua kuteua Mbunge , kugombea tena Ubunge huo huo !

Screenshot_2023-08-19-15-23-51-1.jpg

Kwa tafsiri rahisi ni kwamba Wanaccm wa Mbarali wamepuuzwa na chama chao , kiasi kwamba hakikuona haja ya kuchagua yeyote miongoni mwao mpaka wakaamua kurudi bungeni kumtoa wa viti maalum aende kugombea Jimbo , na kwa vile na yeye anajua atatangazwa tu mshindi , kwa vile hakuna Tume huru ya Uchaguzi , tegemeo ni DED na Polisi basi kakubali kuachia kiti maalum !

Tukio hili liwe fundisho kwa Wachumia tumbo wa ccm humu Jf na kwingineko , kwamba nyinyi si chochote wala lolote , endelee kutumika kama vifaa tu , hicho chama kina wenyewe , na wenyewe ndio hao wanaoteuana , Nyie endeleeni kulima mpunga kwa mashamba ya kukodi hapo Mbarali , siku mje mgongwe na matreka mufe mkazikwe , mashamba yenu wenyewe lakini kauziwa mburushi anawakodisha tena !

Siwahurumii hata kidogo , Wajinga nyie !

Nakala : Lucas mwashambwa
 
Katika vyama vya Kiafrika vinavyodharau Wanachama wake , basi ccm inaongoza kwa mbali sana , Pamoja na chama hicho kuwa na wanachama wengine huko Mbarali , lakini chama hicho kimeamua kuwadharau na kuamua kuteua Mbunge , kugombea tena Ubunge huo huo !

View attachment 2721633

Wataishia kushinda pale lumumba na gazeti la uhuru mkononi
 
Waache weendee kuchanika midomo kwa kupiga vigelegele
 
CCM hakuna mbunge wa kuteuliwa kuwa na akili na hiyo nafasi atagombea mwingine

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Katika vyama vya Kiafrika vinavyodharau Wanachama wake , basi ccm inaongoza kwa mbali sana , Pamoja na chama hicho kuwa na wanachama wengine huko Mbarali , lakini chama hicho kimeamua kuwadharau na kuamua kuteua Mbunge , kugombea tena Ubunge huo huo !

View attachment 2721633

Kwa tafsiri rahisi ni kwamba Wanaccm wa Mbarali wamepuuzwa na chama chao , kiasi kwamba hakikuona haja ya kuchagua yeyote miongoni mwao mpaka wakaamua kurudi bungeni kumtoa wa viti maalum aende kugombea Jimbo , na kwa vile na yeye anajua atatangazwa tu mshindi , kwa vile hakuna Tume huru ya Uchaguzi , tegemeo ni DED na Polisi basi kakubali kuachia kiti maalum !

Tukio hili liwe fundisho kwa Wachumia tumbo wa ccm humu Jf na kwingineko , kwamba nyinyi si chochote wala lolote , endelee kutumika kama vifaa tu , hicho chama kina wenyewe , na wenyewe ndio hao wanaoteuana , Nyie endeleeni kulima mpunga kwa mashamba ya kukodi hapo Mbarali , siku mje mgongwe na matreka mufe mkazikwe , mashamba yenu wenyewe lakini kauziwa mburushi anawakodisha tena !

Siwahurumii hata kidogo , Wajinga nyie !
Kidumu Chama Cha mapinduzi
 
Mtu kama Sufiani sijui unategemea utampa kazi gani? ukimpa vocha ya 5 anashinda anasifia huku wazazi wake wanaishi kwenye nyumba za tembe
 
Back
Top Bottom