Rais Magufuli anajua mambo mengi kuliko nyie

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Nyie mnaotea otea na kukisia tu, lakini yeye kama Raisi wa nchi na mkuu wa Ulinzi na Usalama vile vile kama Mkuu wa CCM anajua kinachoendelea chini chini kabla hata nyie mnaomtegemea Mangi Kimambi kuwaambia.

Hivyo mnaweza kubeza, kukebehi na kumuita majina lakini ataibuka mshindi na nyie hamtapata kitu kwani ana taarifa nyingi sana kuhusu kinachoendelea chini chini, ...
 
Kwahiyo tumuamini kuwa:
Sadamu alikuwa raisi wa
Kuwait ?
Kwamba sukari kaikuta sh 5000/=
Kwamba mwanza wasibomolewe kisa walimpa kura?
Kwamba Bashite hana vyeti feki?
nk

Haupaswi kuamini chochote ila ndiyo hivyo anajua mengi klk nyie!
 
Nyie mnaotea otea na kukisia tu, lkn yeye kama Raisi wa nchi na mkuu wa Ulinzi na Usalama vile vile kama Mkuu wa CCM anajua kinachoendelea chini chini kabla hata nyie mnaemtegemea Mangi Kimambi kuwaambia.

Hivyo mnaweza kubeza, kukebehi na kumuita majina lkn ataibuka mshindi na nyie hamtapata kitu kwani ana infos nyingi sana khs kinachoendelea chini chini, ...

So unatakaje??
 
Teh kwa hiyo yeye anajua mambo mengi kuliko director wa TISS kwenye hizo briefing zao huwa wanamueleza kila kitu?
 
Kwahiyo tumuamini kuwa:
Sadamu alikuwa raisi wa
Kuwait ?
Kwamba sukari kaikuta sh 5000/=
Kwamba mwanza wasibomolewe kisa walimpa kura?
Kwamba Bashite hana vyeti feki?
nk
Mwambie baba atakwelewa mtoa post,tuelewe ujinga huu pambafu
 
Nyie mnaotea otea na kukisia tu, lkn yeye kama Raisi wa nchi na mkuu wa Ulinzi na Usalama vile vile kama Mkuu wa CCM anajua kinachoendelea chini chini kabla hata nyie mnaemtegemea Mangi Kimambi kuwaambia.

Hivyo mnaweza kubeza, kukebehi na kumuita majina lkn ataibuka mshindi na nyie hamtapata kitu kwani ana infos nyingi sana khs kinachoendelea chini chini, ...
Na risasi za ya Lisu anayajua?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom