Rais Magufuli anaiogopa CHADEMA sana

Rais Magufuli anaiogopa CHADEMA sana

Yeye atulie tu atakubali mziki mwaka huu, Jiwe linakuwaa tope kwelikweli.
 
Kazi ya Polisi kulinda sheria na amani, walioamua kuvunja sheria au amani kwa makusudi polisi lazima itawachukulia hatua. Na inavyoonekana baadhi ya viongozi wa CDM wameamua kutupilia mbali misingi ya ubinadamu na kuwa wakorofi. Myika alizuiliwa kufanya mkutano Kibamba, lakini hukuona yeye kufanya uhuni au kutoa matusi, lakini wengine wanakwenda misibani na kuanza kuigeuza kama mikutano ya kisiasa.
Sasa Jana mbowe kamtukana nani? Tuwekee ushahidi hapa
 
Sasa Jana mbowe kamtukana nani? Tuwekee ushahidi hapa
Kwani Mbowe amekatwa kwenye huo mkutano wa jana?

Swala la vijana kwenye mkutano wa Mbowe, kila mwananchi anahaki ya kudai maendeleo awe anatoka chama kimoja na mbunge au anatoka chama kingine. Wewe kama kiongozi hutakiwi kubaguana wananchi kutokana na vyama au itikadi zao.
 
Unakimbila matusio badala ya kujieleza ukaeleweka (ndio haya J.Mbatia alalamikia). Swali ni jepesi sana, kwanini 2020 ni viongozi wa Chadema tu ndio wanakimbizana na polisi? Mbona wenginne wanaendelea na siasa zao kama kawaida?
Jinga sana....mbatia na siasa za mama Tanzania alizifanyia wapi na misukosuko gani alipata...siasa za ulaghai ndio unaziita siasa!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu,

Nimeamini leo kuwa Rais Magufuli anaiogopa Chadema sana na kwanza hana ubavu wa kukaa nao meza moja.
Anaonekana mtu mwenye kinyongo sana na Chadema. Yupo tayari kuonana na viongozi wote Wa upinzani lakini sio Chadema.

Lakini pia nimejifunza kitu na ninapenda kuwataarifu kuwa Chadema isimchukue Membe kuwa mgombea wake bali iendelee na TL pekee, Membe ni mkakati na wao, sana lao moja.

Hata kama Membe akienda ACT basi Chadema isimamishe mgombea wake nimeshaona harufu ya kuivuruga Chadema kupitia Membe. Rais Magufuli ni muoga sana wa Chadema na ana kinyongo sana.

Swelana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiogope chama ambacho mwenyekiti wake ni Mbunge wa Jimbo tu na ambaye juzi alifurumushwa jukwaani na wapiga kura wake? Kweli maajabu hayataisha Tanzania!!
 
Kwani mikutano pekee ndio siasa? huo ni uzamani

Sio mikutano tu, hebu tuambie hizo siasa zake huwa anafanyia wapi? Na kipi kimemfanya aende kwenye mkutano leo baada ya kutoka ikulu jana?
 
Yaani Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiogope chama ambacho mwenyekiti wake ni Mbunge wa Jimbo tu na ambaye juzi alifurumushwa jukwaani na wapiga kura wake? Kweli maajabu hayataisha Tanzania!!

Ni kweli hamna dictator anamuogopa mbunge, sana sana anawachukia cdm kwakuwa wanamvuto kuliko yeye na chama chake.
 
Ni kweli hamna dictator anamuogopa mbunge, sana sana anawachukia cdm kwakuwa wanamvuto kuliko yeye na chama chake.
Kwa suala la mvuto nakubali Chadema ina mvuto. Si hata kule Hai jimboni kwa Mwenyekiti Mbowe wapigakura wake juzi wamemuonesha mvuto wa hali ya juu! Ahahahahahah!!!!
 
Jinga sana....mbatia na siasa za mama Tanzania alizifanyia wapi na misukosuko gani alipata...siasa za ulaghai ndio unaziita siasa!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuingia kwenye siasa lazima upate misukosuko? Hizi ni siasa za kishamba. Mbona kuna wanasiasa wengi tu wanafanya siasa bila misuko suko yoyote. Nyalandu, Mnyika, Prof. Jay, Prof. Safari nk wamedumu kwenye siasa bila heka heka zisizo na msingi. Tuseme ukweli, wenzetu mnatua hizi pilika kupata huru ya wananchi.
 
Sio mikutano tu, hebu tuambie hizo siasa zake huwa anafanyia wapi? Na kipi kimemfanya aende kwenye mkutano leo baada ya kutoka ikulu jana?
Kumbuka Simbeye alisema nini kuhusu Mbatia.Tatizo kama hamsomi mtu magazetini na kumuona kwenye TV mnadhani hafanyi siasa. Siasa ina mambo mengi ikiwa pamoja na kufanya mambo nyuma ya pazia.
 
Kwa suala la mvuto nakubali Chadema ina mvuto. Si hata kule Hai jimboni kwa Mwenyekiti Mbowe wapigakura wake juzi wamemuonesha mvuto wa hali ya juu! Ahahahahahah!!!!

Bado mko kwenye zile siasa outdated, mnadhani mkituma watu kuvuruga mkutano wake ndio tutaingia hadaa kuwa hakubaliki?
 
Mgombea wa Chadema alipata zaidi ya kura mil10 2015 wa ccm alipata kura mil 3 unusu tu , hiki ndio chanzo cha siasa kuzimwa Tz , Kinana anajuta kushiriki wizi

Mkuu unautumia vizuri ubongo wako, hongera kwa wazazi wako kwa sababu pesa yao haikwenda bure, unawatendea haki kabisa! Mimi naamini kama unaipenda ccm alafu haupo NEC ya CCM wala haupo CC ya CCM wala wewe siyo kiongozi katika jumuiya yoyote ile ya CCM wala huna hata uteuzi wowote unaotumikia ndani ya CCM kwa maana ya Ubunge, Udiwani, Ukurugenzi, Ukuu wa mkoa, Ukuu wa wilaya, au cheo chochote katika serikali kuu, serikali za mitaa au hata katika taasisi yoyote ya serikali basi ndani ya kichwa chako utakuwa una makamasi tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana bahati mbaya sanaa manaake watanzania ndio tunaielewa vibaya Sana Chadema.ajinyonge tu kwakweli
Chadema ilipangiwa matukio mengi sana ya kuiua. Kama vile mwanachama wake Lisu alivyopangiwa kuuwawa. chadema haijafa na Lisu hajafa.
 
Bado mko kwenye zile siasa outdated, mnadhani mkituma watu kuvuruga mkutano wake ndio tutaingia hadaa kuwa hakubaliki?
Obviously hakubaliki unless utoe ushahidi kuwa wale vijana walitoka kwetu Mwanza. Kama ni wakazi wa hapo na wametumwa, Mbowe alienda kuwahutubia akina nani kama si wao?
 
Tangu lini genge la walaghai lisiogopeke sambamba na kufutiliwa kabla halijaleta madhara kwa wananchi wapenda mabadiliko ya kweli
 
Back
Top Bottom