Rais Magufuli anaiogopa CHADEMA sana

Rais Magufuli anaiogopa CHADEMA sana

Swelana

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
432
Reaction score
1,280
Ndugu,

Nimeamini leo kuwa Rais Magufuli anaiogopa Chadema sana na kwanza hana ubavu wa kukaa nao meza moja.
Anaonekana mtu mwenye kinyongo sana na Chadema. Yupo tayari kuonana na viongozi wote Wa upinzani lakini sio Chadema.

Lakini pia nimejifunza kitu na ninapenda kuwataarifu kuwa Chadema isimchukue Membe kuwa mgombea wake bali iendelee na TL pekee, Membe ni mkakati na wao, sana lao moja.

Hata kama Membe akienda ACT basi Chadema isimamishe mgombea wake nimeshaona harufu ya kuivuruga Chadema kupitia Membe. Rais Magufuli ni muoga sana wa Chadema na ana kinyongo sana.

Swelana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aogope.kitu mfu?,hiyo Sacco's kwa sasa zilipendwa ,hebu kumbuka kila nahau na semi mlizoongea za kumtikisa ziliishia wapi?
 
Kujipa matumaini hewa na kujifurahisha pia ni njia mojawapo katika kupitia hali ngumu ya kimaisha!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndugu
Nimeamini Leo kuwa pombe anaiogopa chadema sana na kwanza hana ubavu Wa kukaa nao meza Moja,
Anaonekana MTU mwenye kinyongo sana na chadema,yupo tayari kuonana na viongozi wote Wa upinzani lakini sio chadema.
Lakini pia nimejifunza kitu na ninapenda kuwajutaarifu kuwa chadema isimchukue membe kuwa mgombea wake Bali iendelee na TL pekee,membe ni mkakati na wao sana lao Moja,hata kama membe akienda ACT basi chadema isimamishe mgombea wake nimeshaona harufu ya kuivuruga chadema kupitia membe.
Pombe ni muoga sana Wa chadema na ana kinyongo sana..

Swelana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kujipa moyo ni hulka ya mwanadamu
 
Mkuu sikubaliani na wewe kuwa anaiogopa cdm, haogopi kwa lolote kwakuwa yeye ndio mwenye dola. Magufuli haipendi cdm kabisa na anaichukia kupita kiasi, ni kwamba tu anakosa sababu iliyoonyooka ya yeye kuifuta. Sababu anajua fika cdm ndio yenye mvuto kwa wananchi hasa vijana.

Anadhani akiihujumu cdm basi anaamini automatically watu watapenda ccm kitu ambacho kashindwq, anatamani sana cdm inavyopendwa, ccm chini yake ingependwa hivyo. Hata hili la Katazo la mikutano ya vyama vya siasa mlengwa haswa ni cdm.

Na hata haya manunuzi ya wapinzani 90% ni wa cdm akiamini anaowanunua watahamishia mvuto huko ccm. Na hadi wakati anatoka madarakani cdm haitakaa itendewe haki. Asichokijua ni kuwa anashindana na wakati na kanuni ya muda kuwa kitu kikikaa muda mrefu watu hukichoka.
 
#TumaHuruyaUchaguzi ndio hitimisho la yote. Na CCM kwa vile inapendwa sana ndio itakapo pata kura nyingi za ukweli bila manung'uniko. Nadhani tumeelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba ubaya demokrasia kwake ni chuki na bifu za kishamba

Chadema ni chama makini sana na kina mahesabu makali hebu fikiria Chadema hakisaidiwi na Polisi wala serikali

Chadema lazima kiwatishe hao madikteta uchwara Chadema is here to stay
 
Back
Top Bottom