Rais Magufuli anaiogopa CHADEMA sana

Rais Magufuli anaiogopa CHADEMA sana

CDM gani inayoogopwa..? Hii hii iliyobakiwa na watu watano..? Ambao ukiwauliza ivi itikadi na sera yenu ni ipi ? Kila mmoja hajui anapigania nini ...!! Majibu ndio kichekesho..!! Kuna mmoja anaweza kusema hatuzitaki ndege na mwingine SGR ndio adui wetu, na mwingine aweza sema chanzo cha matatizo yetu ni ' interchange inayojegwa ubungo ' ..... mimi binafsi nachukia sana CDM kuua upinzani ambao ulijengwa kwa gharama kubwa sana huko nyuma...Kazi ya kuujenga upya Upinzani sio lelemama... Haya Membe huyooo wasije wakatangaza ku change gear ANGANI ....!!

Umeongea utoto gani dogo?
 
Unakimbila matusio badala ya kujieleza ukaeleweka (ndio haya J.Mbatia alalamikia). Swali ni jepesi sana, kwanini 2020 ni viongozi wa Chadema tu ndio wanakimbizana na polisi? Mbona wenginne wanaendelea na siasa zao kama kawaida?

Tuambie Mbatia huwa anaendelea na mikutano yake wapi?
 
Huyu mnyama haliwi. Hata wachina sijawahi kusikia kuwa wanakula huyu
FB_IMG_15826397714970904.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema kwa kupenda sympathy wewe atauseme magu anawaogopa chadema hiyo haizuii yeye kuwa Raisi kwa awamu ya pili
Chadema wanaenda kupinga uraia wa huyo raisi wenu mahakamani kama wakati ule Obama alivyofanyiwa...hatutaki affidavit wala cheti kipya ..iwe mvua au jua hawezi kugombea #niguseninuke
 
Magufuli amuogope Mbowe? Mbowe anayeogopa hata kupeleka barua ya maoni yake Ikulu anaamua kuyasomea barabarani. Wenye akili za namna hii huwaiti Ikulu unakaa kimya au majibu yake unawapatia hukohuko mtaani. Unaongea na wenye busara.

Kweli, imefika mahali Mbowe kwa akili zake anamtoa amri mwenyekiti wa CCM atokee jukwaani kwenye mkutano wa Chadema? anatafuta nini hapo? Ulimualika? Kuna shida.

Huyo ni Mwenyekiti wa Chadema, sio ccm, anaitwa Kwayu.

Ccm acheni uongo kama wakenya wanaotangaza Samatta ni raia wa Kenya
 
Chadema wanaenda kupinga uraia wa huyo raisi wenu mahakamani kama wakati ule Obama alivyofanyiwa...hatutaki affidavit wala cheti kipya ..iwe mvua au jua hawezi kugombea #niguseninuke
Nimeipenda hii,inapaswa kweli tupinge mahakamani uraia wake,huyu mrwanda ataielewa tu chadema..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu,

Nimeamini leo kuwa Rais Magufuli anaiogopa Chadema sana na kwanza hana ubavu wa kukaa nao meza moja.
Anaonekana mtu mwenye kinyongo sana na Chadema. Yupo tayari kuonana na viongozi wote Wa upinzani lakini sio Chadema.

Lakini pia nimejifunza kitu na ninapenda kuwataarifu kuwa Chadema isimchukue Membe kuwa mgombea wake bali iendelee na TL pekee, Membe ni mkakati na wao, sana lao moja.

Hata kama Membe akienda ACT basi Chadema isimamishe mgombea wake nimeshaona harufu ya kuivuruga Chadema kupitia Membe. Rais Magufuli ni muoga sana wa Chadema na ana kinyongo sana.

Swelana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ni nani una mamlaka gani ya kutahadharisha wakati unachokiandika tu hukijui. Utopolo mtupu
 
Huyo ni Mwenyekiti wa Chadema, sio ccm, anaitwa Kwayu.

Ccm acheni uongo kama wakenya wanaotangaza Samatta ni raia wa Kenya
Usikurupuke sikiliza. Kwa hiyo mwenyekiti wa Chadema ndiye ameshusha bendera ya Chadema?
 
Sasa Kama hujui ni kwanini polisi inapambana na Mbowe badala ya Mrema au Lipumba katika akili ya kawaida tu nikusaidiaje? Unaonekana ni punguwani usiejielewa.

Kazi ya Polisi kulinda sheria na amani, walioamua kuvunja sheria au amani kwa makusudi polisi lazima itawachukulia hatua. Na inavyoonekana baadhi ya viongozi wa CDM wameamua kutupilia mbali misingi ya ubinadamu na kuwa wakorofi. Myika alizuiliwa kufanya mkutano Kibamba, lakini hukuona yeye kufanya uhuni au kutoa matusi, lakini wengine wanakwenda misibani na kuanza kuigeuza kama mikutano ya kisiasa.
 
2015 anajua Chadema ilimfanya nini.

Alifika Mbeya watu wanazomea mbaya kabisaa kaongea weee watu wanazomea tu.
2015 hakushinda,ila alitangazwa mshindi.
Ushahidi upo na ipo siku utawekwa hadharani.
 
Back
Top Bottom