Rais Magufuli anaiogopa CHADEMA sana

Rais Magufuli anaiogopa CHADEMA sana

Obviously hakubaliki unless utoe ushahidi kuwa wale vijana walitoka kwetu Mwanza. Kama ni wakazi wa hapo na wametumwa, Mbowe alienda kuwahutubia akina nani kama si wao?

Don't be naive, utaratibu wa kuuliza maswali unafahamika na vurugu zinaeleweka. Labda uniambie kuwa ilifika muda wa kuuliza maswali na waulizaji wakagomewa kupewa majibu. Zile sio siasa, bali ni siasa za kishenzi za awamu hii ya tano. Tulishotoka muda mrefu kwenye siasa za kishenzi.
 
Ungelikuwa unakaa Jijini Mwanza ningekuuliza mwaka 2015 pale Sahara wale vijana wa Chadema waliovunja mkutano wa hadhara wa aliyekuwa Waziri Mkuu Pinda walikuwa wahuni au makamanda? Kwakuwa hukai hapa jijini nakupotezea.
 
Back
Top Bottom