Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Mkuu Nelson Mandela ndiyo kila kitu kwa siasa za watawala wa afrika
Mkuu Nelson Mandela ndiyo kila kitu kwa siasa za watawala wa afrika
Kumbe nawe umeligundua hilo?maana post yake no 1 ni hiyoMsamehe ni new member.
Kwa maana yake mleta mada mungu ni wa wakubwa tukabisaaaa..kama huyo mungu sio wa wale watoto 7000 wa udom
mungu anayemtaja sio wa wale vil.aza bali wa mwenye phd . Na kuna habari amekuwa anamlinda tokea wakati wa ubungekabisaaaa..kama huyo mungu sio wa wale watoto 7000 wa udom
LugumiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiUPINZANI AMBAO HAUJIAMINI HATUUTAKI TANZANIA...
UPINZANI AMBAO HAUELEWEKI UNASIMAMIA AGENDA GANI NI WA KUPUUZWA...HAUWEZI KUTUVUSHA.
UPINZANI AMBAO UNATETEA MAFISADI NA WAVIVU HUKU UKIMUITA DIKITETA ANAYECHUKULIA HATUA MAFISADI UNAPASWA KUTOUNGWA MKONO NA WANAOLITAKIA MEMA TAIFA LETU.
Mungu hana upendeleo atatulinda sote.Kwa dhamira aliyonayo Rais Magufuli kwa wananchi na taifa la Tanzania nina uhakika Mwenyezi Mungu atamlinda kama alivyomfikisha kwenye nafasi ya Urais.
Taifa letu lilikuwa limefikia hali mbaya sana kiasi ambacho chochote cha haramu kilikuwa cha halali na cha halali kilikuwa cha haramu, bila kumpata kiongozi shupavu na jasiri kama Rais Magufuli Tanzania ilikuwa inaelekea pabaya sana. Ni jambo la kusikitisha sana kuona vyama vya upinzani kuanza kupinga mabadiliko aliyoyaleta na anaendelea kuyaleta hapa Tanzania, kauli mbiu za vyama vya upinzani ilikuwa ni mabadiliko na kwasasa Rais Magufuli anatekeleza kauli mbiu hiyo bila kujali itikadi ya Chama chake cha CCM. Naomba wanasiasa bila kujali itikadi ya vyama vyao wamuunge mkono huyu ndugu yetu Rais Magufuli kwa faida ya watoto wetu na vizazi vyetu.
Katika bara la Afrika ni nadra sana kumpata kiongozi aina ya Rais Magufuli sasa tusipotezee baraka hii Mwenyezi Mungu aliyetupa, na ninawashauri viongozi waliokuwa wamekuwa na mazoea ya ufisadi the honeymoon is over wabadilike kwa faida ya nchi hii.
with a fake IDMsamehe ni new member.
wakuu kwa kweli Magufuri sikumpa kura na nilikuwa simpendi kwa sababu ya CCM , lakini kwa sasa kazi anayofanya naiafiki 100%.Nchi ilishaoza hii na wananchi tulishalemaa na tabia mbovu, najua tutaumia kwa muda lakini baadae tutafurahia matunda yake. Mungu ambariki sana akamilishe aliyofikiria na kupanga.Kwa dhamira aliyonayo Rais Magufuli kwa wananchi na taifa la Tanzania nina uhakika Mwenyezi Mungu atamlinda kama alivyomfikisha kwenye nafasi ya Urais.
Taifa letu lilikuwa limefikia hali mbaya sana kiasi ambacho chochote cha haramu kilikuwa cha halali na cha halali kilikuwa cha haramu, bila kumpata kiongozi shupavu na jasiri kama Rais Magufuli Tanzania ilikuwa inaelekea pabaya sana. Ni jambo la kusikitisha sana kuona vyama vya upinzani kuanza kupinga mabadiliko aliyoyaleta na anaendelea kuyaleta hapa Tanzania, kauli mbiu za vyama vya upinzani ilikuwa ni mabadiliko na kwasasa Rais Magufuli anatekeleza kauli mbiu hiyo bila kujali itikadi ya Chama chake cha CCM. Naomba wanasiasa bila kujali itikadi ya vyama vyao wamuunge mkono huyu ndugu yetu Rais Magufuli kwa faida ya watoto wetu na vizazi vyetu.
Katika bara la Afrika ni nadra sana kumpata kiongozi aina ya Rais Magufuli sasa tusipotezee baraka hii Mwenyezi Mungu aliyetupa, na ninawashauri viongozi waliokuwa wamekuwa na mazoea ya ufisadi the honeymoon is over wabadilike kwa faida ya nchi hii.
Hio ni zilipendwa sasahivi ipo single ya kuvaa tisue midomoni...Lugumiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Unajielewa ndugu? Utamuombeaje MTU ambae hajui hata bei ya umeme anaotumia....kama una upendo kweli kwanini usiwaombee watu ambao hawajui siku ya leo watakula nini..au unavizia uteuzi niniLeo ni jumapili, waumini wengi wa kikrsto wanafanya ibada, pia katika sala zao, kwa kuwa rais alisema tumuombee, licha ya Hotuba ya jana inayogusa maslahi ya "wazungu" tukumbuke ombi lake la kuombewa.
Mkuu mbona unaanza kuchanganya mambo ya kuombewa na maandamano???Kuombewa nimuhimu kwa Rais wetu
Maana ana Ongoza mchanganyiko wa watu
Wanywa Viroba, Vibendera Mafisadi, Majizi
Nikazi ngumu sana.
"Nataka hao wanaotetea maandamano watangulie wao halafu wataona cha mtemakuni’"