Rais Magufuli anahitaji maombi yako

Rais Magufuli anahitaji maombi yako

Inaelekea wewe ni mmoja wa zile jipu aliyekuwa JPM anaongelea.

mwambie aje anitumbe uone kama sitamtumbua yeye. Unakumbuka alivyotumbua jipu kwa kubomoa jumba kule mwanza kisha likamtumua yeye mwenyewe kwa kushindwa kesi mahakamani. Mwambie aje anitumbue nimkufundishe wanavyotumbuliwa unaodhani hawatumbuliki.
 
Naungana nawe queen. Tunamuombea sana Rais wetu mpendwa mungu amlinde zaidi

Mungu ni shahidi wangu kila nikilala huwa namuombea ulinzi Rais wetu Kipenzi Mheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli kwanza Mungu ampe ulinzi na asije akabadilika aendelea na msimamo kwa suala la TRA tayari nmeshajua yupo siriaz bandarini aspeleke wasanii kna mwakyembe na kna sta wanaopndshwa ndege na home shopping owners vivuli
 
Mungu amuweke mahali pema ila nilitamani sana waziri mkuu awe Marehemu Mheshimiwa Deo Filikunjombe au akabidhiwe wizara ya fedha au Uchukuzi mimi ninaamini TRA na Bandari ndio uchumi wa nchi ndio maana Kagame alifkia mahali akaomba akabidhiwe bandari yetu 1yr kiukweli ndio kisma cha ufisadi na TRA...bandarini Mheshimiwa Rais John Magufuli aspeleke wasanii kna January Makamba. ..Mwakyembe. .Sitta ...n Co
 
mwambie aje anitumbe uone kama sitamtumbua yeye. Unakumbuka alivyotumbua jipu kwa kubomoa jumba kule mwanza kisha likamtumua yeye mwenyewe kwa kushindwa kesi mahakamani. Mwambie aje anitumbue nimkufundishe wanavyotumbuliwa unaodhani hawatumbuliki.

Umeshiba ma.vi wewe kanye halafu ufikiri sawasawa, ng'ondi kasoro ikila
 
Vita ya Uganda na Tanzania na vita anayopigana Magufuli/Nyerere junior ni vita mbili tofauti na ndio maana Magufuli anahitaji maombi ili apate ulinzi wa Mungu.
Magufuli anapigana vita na adui wa ndani,wengine anaweza akawa anacheka nao na asijue kuwa ni adui na ndio maana anahitaji kuombewa.

Vita zote ni mbaya ila kupigana na unaowajua na usiowajua kuwa ni adui ni hatari zaidi.

Hee leo hii mnasema urais ni ukakamavu,makubwa haya,si nyie mlikua mkisema ikulu hakuna kubeba zege?,tena mkasema hata Lowassa akiwa kwenye machela mtamchagua??!!.Sasa huyo Lowasa angeingia ikulu na vile alivyokua akitetemeka huo ukakamavu angeutoa wapi?Najiuliza tu,Magufuli alisimama na kuhutubia kwa saa karibia mbili,haya Lowasa angewezea wapi na yeye dk 10 tu zilikua mtihani??!!.

Unasema urais ni ukakamavu wkt mnataka kumpeleka Lowasa ikulu hamkuliona hilo?

Sio kila vita inapiganwa kwa bunduki na mabomu,vita nyingine silaha inayohitajika ni maombi.

Ww Dada kua mwelewa hata tukimwombea bila yeye kujiombea na matendo yake ya kishetani ni kazi bure! Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe!
 
Hii ni mara ya kwanza tokea nijue jema na baya kwa moyo wangu ku-fall in love na kiongozi wa CCM,siku zote niliichukia CCM na viongozi wake wote na mambo yake yote.

Hata hivyo they say never say never,today the same me, I bodly say NAMPENDA MAGUFULI KWA MOYO WANGU WOTE,najuta kwanini sikupiga kura,laiti ningejua ningempigia,hata hivyo akiendelea hivi na kasi hii hakuna shaka 2020 he shall have my big and fat vote.

Hata hivyo kasi ya rais wetu na nia yake ya kutaka kutekeleza ahadi zake inanifurahisha na kuniogopesha at the same time.

Nafurahia maendeleo anayotaka kutuletea ila ili atuletee hayo maendeleo inabidi ahatarishe masilahi ya watu ambao yeye mwenyewe amesema ni wazito which means anahatarisha maisha yake.

Kama kweli rais wetu kipenzi hizi sio nguvu za soda na kama kweli ana nia na malengo ya kufanya aliyoyaahidi basi maisha yake yako hatarini.

Imagine issue yakutaka kusambaratisha drug empires na ufisadi ilivyo hatari.
Druglords ni majitu makatili na yaliyo tayari hata kuungana na kuhakikisha rais wetu wanam silence kwa namna yeyote ile.Its a war.

Sometimes natamani rais wetu kipenzi aiweke pending issue ya madawa ya kulevya kwanza maana wasije wakatuulia rais wetu kabla hajatuletea maendeleo ambayo nina amini ana uwezo na nia.

Kwa maana hiyo naomba kila mwenye mapenzi na rais wetu kila anapoamka na kusali amuweke rais wetu katika maombi.

Huyu baba bila ulinzi na msaada wa Mungu atashindiwa katikati na hasara ni yetu sisi.

EEH MUNGU BABA MUUMBA WA MBINGU NA NCHI KWANZA ASANTE KWA KUTUPATIA RAIS HUYU MAGUFULI.
MPE ULINZI WAKO MAANA WANAOTAKA ASHINDWE SI WENGI ILA BAADHI WANA NGUVU KIBINADAMU HATA ZA KUMDHURU.
EEH BABA MPE HEKIMA ZA KUCHAGUA TEAM ITAKAYOMSUKUMA MBELE NA SI KUMRUDISHA NYUMA.
MPE PUA ZA KIROHO ZA KUWANUSA WENYE TABIA ZA KILAFI NA KIFISADI ILI AWAEPUKA KTK BARAZA LAKE.
EE

BABA MUNGU MUONGOZE AFANYE YALIYO SAHIHI MAANA YEYE NI BINADAMU BILA MSAADA WAKO ANAWEZA KUFANYA MAKOSA HATA BILA KUKUSUDIA.

MUNGU BABA NAMALIZIA KWA KUKUOMBA UGUSE ROHO ZA WABUNGE WETU WOTE WAKATAE POSHO MAANA ZINATUUMIZA SISI WATANZANIA WENGINE.

WEKA HAYA NA SONI KTK NYUSO ZA WABUNGE HAWA WANAOTAKA HELA WAKATI RAIS WETU ANAHANGAIKA KUFANYA KILA NAMNA ILI KUSAVE HELA ILI KUSAIDIA WATANZANIA WOTE.

MUNGU MWENYE ENZI WAONESHE WABUNGE WETU KUWA HIZO POSHO HATA KAMA NI ZA 'HALALI'KIKATIBA ILA KIUHALISIA NA HALI YA NCHI ILIVYO HUO NI WIZI, UROHO, UBINAFSI,KUTOJALI WENYE SHIDA NA UFISADI.

NAMUWEKA MWANAO Zitto na yule wa Singida mikononi mwako,wang'arishe na uzidi kuwainua kwa manufaa ya taifa hili.

Asante baba Mungu kwa sababu nina amini utakwenda kutenda na jina lako lihimidiwe.

AMEN.

Yakwako yanatosha
 
Magufuli is a spiritual project; TANZANIA NJEMA NILAZIMA APENDE AU ASIPENDE MTU.

Mafisadi I warned you lakini mkadhani ni utani, hii project hakuna wa kuipangua maana power zote zinazofahamika na zisizofahamika tulisha zi subdue. Anga letu liko free na Magufuli has all his eyes clear to see the country's vision realized.

Si kwa nguvu wala uweza bali kwa roho wa Mungu aliye hai ambaye Ame ni mtoto wake kipenzi anayejitambua na mwenye kuzitumia vyema talents alizomgawia bure ili aishi kifalme hapa kwenye dunia hii iliyojaa uovu!

Hata ukinawa mjini huendi
 
Pole sana. Naona umeumia, lkn kumbuka kwetu ni nchi kwanza. Viva Dr. Magufuli

Kama unalijua hilo basi msiwalazimishe watu kukubali mnachotaka nyinyi
 
Mpaka sasa maghufuli nampa 40%. 60 % bado simuamini ingawa ameanza vizuri. kwa mfano nimepata taarifa walimu wetu waliokuwa wakisimamia mitihani ya form two na form four mpaka sasa hawajalipwa stahiki zao. kisa ni nini? huwezi sema hapa kazi tu wakati wanaofanya hiyo kazi hawalipwi kwa wakati. rais achukue hatua juu ya hili....

Hiyo ni kweli nami kuna ndugu yangu alikuwa tanga kwenye kusahihisha mitihani bado wanadai malipo yao, alafu wanajitokeza majitu wanakenua hovyo hovyo hapa
 
Naomba itungwe sheria ya kukataza kufananaisha Rais Julius Nyerere na kila unayedhani unaweza kuropoka. Haya ni matuis kwa mtu ambaye kila mmoja hata maadui zake walimkubali kwamba ni baba wa taifa.

Hivi unaweza kumfananisha Nyerere kwa usanii wa kutembelea Muhimbili, kama si uwendawazimu ni nini hiki? Nyerere alikuwa anabishana na wasomi wa dunia hii kwa hoja. Marais wengine wanakimbia wasomi.

Mimi nafikiri huyo Rais wako kamfananishe na Idi Amin maana Idi Amini ndiye Rais pekee aliyetumia misuli yake kusema apigane ngumi na Nyerere ili askari wasiumie vitani na kubana matumizi. Idi Amini akaanza mazoezi ya push-up ili kumkabili Nyerere.

Sasa ni Rais gani hapa Tanzania anajua push-up kuliko Idi Amini. Peleka uozo wako kule. Julius Nyerere hakuwahi kutuuhumiwa kuiba kura hata kwa tetesi.

Koma kumfananisha Nyerere na kila mtu unayedhani mdomo wako unaweza kumtamka kama unavyoweza kutoa harufu chafu.

hapo umeharisha tu..
 
Amin...
JPM anahitaji support ya watanzania wote
 
hata mwalimu nyerere alikuwa na maadui humu ndani, baada ya kufa ndo wapinzani wake wakamkubali ingawa wengine mpk leo hawamkubli.
sishangai kwa maneno yako ingawa una uhuru wa kusema na kutoa maoni lkn hapa mkuu hukuangalia maslahi ya taifa.
kama raia wa mataifa mengine wanamkubali magu sisi humu tunamkataa inatuthibitishia ile kauli ya nabii hakubaliki kwao. au ngombe haoni faida ya mkia wake mpk ukatike.
any way all in all mi nilidhani baada ya maombi yale threads zilizofuata zote zingesema AMINA.
 
Back
Top Bottom