alhajjnagaoka
New Member
- Feb 17, 2016
- 4
- 0
Mung I ataukuafu
kuanzia leo naacha ushabiki,kuanzia leo ni mchezaji wa siasa!ushabiki haulipi kama uchezaji wa kisiasa!Siasa ni kama DEBATE tu mashuleni.Mkianza mnajigawa darasani makundi mawili.Mnajigawa kwa hiari.Wengine wanakuwa upande wa NDIYO wengine upande wa HAPANA (opposition).Debate ikiisha mnaendelea na darasa kama kawaida.
Siasa pia ni kama timu ya mpira.Ikitaka kufanya mazoezi ikiwa peke yake inajigawa mara mbili wengine wanakuwa upande wa goli lle wengine upande wa goli lingine.Mnacheza weeee mkimaliza mchezo mnatulia kama timu moja mnaendelea na timu.
Tatizo mashabiki ndio watajijua DEBATE ikiisha wao wanaendelea kujadili nani kashinda mchezo ukiisha wao wanaendelea kujadili
Huyu ni kiongozi wa nchi .Wazanzibar na watanzania wa kawaida wakipewa ED wakitoka hospitali wanaenda kupumzika na kuugulia nyumbani huyu anapumzika na kuugulia na kunywa panadol hotel ya kitalii.Halafu mnasema Seif Shariff HAMAD akishika ataboresha maisha ya wazanzibari.
Hapo SEif muungano anaupenda hata kama swala la mahoteli si jambo la muungano
Hata shetani anawashangaa hawa CCM, sijui siku ya kiama watakuwa wageni wananikutetea ccm ni kuwa kama kichaa anayebugia mav;!!!!!ninyi vijana wa ccm mnajisumbua bure dunia inajua hatuwezi kuvumilia uporaji wa ushindi wa wazanzibar.. vijimawazo vyenu haviwezi kutuhamisha mawazo tusahau unyama/usanii mnaoufanya zenj. alafu ninyi endeleeni kuchukua viposho vya nyanya huku wenzenu wakitafuna life. yaan unatumika kijinga kabisa kisa eti elfu 5000/=
Uchaguzi sijui bado kasusa?Wazanzibar na watanzania wa kawaida wakipewa ED wakitoka hospitali wanaenda kupumzika na kuugulia nyumbani huyu anapumzika na kuugulia na kunywa panadol hotel ya kitalii.Halafu mnasema Seif Shariff HAMAD akishika ataboresha maisha ya wazanzibari.
Hapo SEif muungano anaupenda hata kama swala la mahoteli si jambo la muungano
Asuse ale wapiUchaguzi sijui bado kasusa?
Alisemea raia wake au nchi?Magufuli aache unafiki. Si Alisema ya Zanzibar hayamhusu?
wewe utakuwa mtu mshenzi sana, kaacha kwenda kwake kaenda gesti, atakuwa alikuwa na kimada tu.kutetea ccm ni kuwa kama kichaa anayebugia mav;!!!!!ninyi vijana wa ccm mnajisumbua bure dunia inajua hatuwezi kuvumilia uporaji wa ushindi wa wazanzibar.. vijimawazo vyenu haviwezi kutuhamisha mawazo tusahau unyama/usanii mnaoufanya zenj. alafu ninyi endeleeni kuchukua viposho vya nyanya huku wenzenu wakitafuna life. yaan unatumika kijinga kabisa kisa eti elfu 5000/=
Na wewe zichange buku 7 unazolipwa kwa siku baada ya miezi michache unaweza kwenda Serena kulala hata siku moja.Wazanzibar na watanzania wa kawaida wakipewa ED wakitoka hospitali wanaenda kupumzika na kuugulia nyumbani huyu anapumzika na kuugulia na kunywa panadol hotel ya kitalii.Halafu mnasema Seif Shariff HAMAD akishika ataboresha maisha ya wazanzibari.
Hapo SEif muungano anaupenda hata kama swala la mahoteli si jambo la muungano