Bwana Yehodaya Seif ni mtu muhimu sana katika Siasa za nchi hii na amefanya Mengi makubwa na anastahili kukaa hapo Serena hata mwaka mzima na kifupi anapokaa hapa alikuwa analipa mwenyewe na ndio maana Mhe. Rais Kasema atamlipia, hauwezi kumfananisha Maalimu Seif na Kikaragosi huyu ni mtu muhimu na anastahili mo than thatWazanzibar na watanzania wa kawaida wakipewa ED wakitoka hospitali wanaenda kupumzika na kuugulia nyumbani huyu anapumzika na kuugulia na kunywa panadol hotel ya kitalii.
Halafu mnasema Seif Shariff HAMAD akishika ataboresha maisha ya wazanzibari.
Hapo SEif muungano anaupenda hata kama swala la mahoteli si jambo la muungano