chipaka.com
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,883
- 1,195
Kumbe ni mbinu za kuonana na wakuu
Acha kashfa za kijinga wewe. Uzima na mauti hauchaguliwi na mwanadamu.Tatizo ni UKAWA wenyewe wanaoamua kwenda mawodini kutafuta wagombea uraisi kwenye wagonjwa walolazwa
Kwa hiyo mtu akiugua asiende kupewa pole?. Ubinadamu kwanza, siasa za majukwaani baadae.Magufuli aache unafiki. Si Alisema ya Zanzibar hayamhusu?
Wazanzibar na watanzania wa kawaida wakipewa ED wakitoka hospitali wanaenda kupumzika na kuugulia nyumbani huyu anapumzika na kuugulia na kunywa panadol hotel ya kitalii.
Halafu mnasema Seif Shariff HAMAD akishika ataboresha maisha ya wazanzibari.
Hapo SEif muungano anaupenda hata kama swala la mahoteli si jambo la muungano