Rais Magufuli ampigia simu Zitto na kumtakia apone haraka

Lengo ni la kisiasa ziaidi kuliko utu ndio maana tunataarifiwa na ikulu kuwa kampigia simu!
Hakuna cha huruma wala nini,Jiwe ni katili wa kutupwa!
zitto ni mzalendo katibiwa hospital ya umma kapanda ambulance ya umma, yule jamaa aliumia enka ya mguu kakimbilia zahanati ya mtu binafsi kuchua,

Angekuwa lissu lazima wangezusha kashambuliwa na wasiojulikana, zitto kawa muungwana kasema ni ajali tu ya kawaida.
 
Rais wetu ni mtu mwenye utu ni mtu wa watu na mkristo halisi leo amepigia simu Zitto Kabwe aliyepata ajali hapo jana na kumtakia maendeleo mema apone haraka aje wajenge nchi.

Pia rais amewashukuru manesi na madakari waliomtibu Zitto haraka kuwa huo ndio uzalendo halisi

Maendeleo ya vitu haya

USSRView attachment 1592729

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kwanini atangazee?
 
Wakati kampeni za uchaguzi wa mwaka huu zikiendelea, tayari tumeshuhudia ajali za viongozi wa kitaifa wa CHADEMA na ACT Wazalendo, sasa tunaelekea kituo kinachofuata. Guess, who might be on the focus.
 
Hapo kwenye kuwashukuru madaktari ni kama dongo kwa Zitto

Hapo anajaribu kumwonyesha kuwa pamoja na kunipinga lakini hizo Hospital nilizojenga ndio zimechangia kuokoa maisha yako.

Nimewaza tu.
Lini kajenga hospitali yake huyu tangu aingie madarakani? Ana hela ya kujenga hospitali au kulipa mishahara ya madaktari? Acheni kumvimbisha kichwa huyo KICHAA!
 
Rais wetu ni mtu mwenye utu ni mtu wa watu na mkristo halisi leo amepigia simu Zitto Kabwe aliyepata ajali hapo jana na kumtakia maendeleo mema apone haraka aje wajenge nchi.

Pia rais amewashukuru manesi na madakari waliomtibu Zitto haraka kuwa huo ndio uzalendo halisi

Maendeleo ya vitu haya

USSRView attachment 1592729

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mwaambie aache kujipendekeza Zitto kasema Meko hajawahi peleka maendeleo Kigoma
 
Back
Top Bottom