Rais Magufuli ampigia simu Zitto na kumtakia apone haraka

Rais wetu ni mtu mwenye utu ni mtu wa watu na mkristo halisi leo amepigia simu Zitto Kabwe aliyepata ajali hapo jana na kumtakia maendeleo mema apone haraka aje wajenge nchi.

Pia rais amewashukuru manesi na madakari waliomtibu Zitto haraka kuwa huo ndio uzalendo halisi

Maendeleo ya vitu haya

USSRView attachment 1592729

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
KWA ATAKAYE IBA KURA BORA APATE UGONJWA WA UKICHAA MILELE MAANA WATU HAWA WANATUZUNGUSHA VICHWA SANA TUTAOMBA MASAADA SOUTH KOREA (WOTE HATUWEZI KUWA WATOTO) = MAANA WENGINE SIJUI WANAPAMBANA ILI IWEJE!?

NIKAMA MAWAZO AFADHALI KUELEKEA CHAMA KIMOJA CHA SIASA
 
Ni kawaida mchawi kulia sana au kulia wa kwanza kwenye msiba au kifo
 
Rais wetu ni mtu mwenye utu ni mtu wa watu na mkristo halisi leo amepigia simu Zitto Kabwe aliyepata ajali hapo jana na kumtakia maendeleo mema apone haraka aje wajenge nchi.

Pia rais amewashukuru manesi na madakari waliomtibu Zitto haraka kuwa huo ndio uzalendo halisi

Maendeleo ya vitu haya

USSRView attachment 1592729

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hizi ndio siasa tunazozitakaka na huu ndio utu na ustaarabu.

Alipo pigwa risasi Lisu, Magufuli hakuonesha kabisa kuguswa kwa jinsi alivyo na chuki naye na hakutoa kauli yoyote au amri ya kufanywa upelelezi. Ndio maana hadi leo wahusika Hakuna aliyekamatwa ,na ripoti hakuna ya kupigwa kwake risasi kwa vile Raisi hakuonesha ushirikiano kabisa
 
Kila muda unaleta mkwala kwa lowasa wewe jeshi pori ulikuwa wapi kuzilinda
KWA ATAKAYE IBA KURA BORA APATE UGONJWA WA UKICHAA MILELE MAANA WATU HAWA WANATUZUNGUSHA VICHWA SANA TUTAOMBA MASAADA SOUTH KOREA (WOTE HATUWEZI KUWA WATOTO) = MAANA WENGINE SIJUI WANAPAMBANA ILI IWEJE!?

NIKAMA MAWAZO AFADHALI KUELEKEA CHAMA KIMOJA CHA SIASA
 
Kila muda unaleta mkwala kwa lowasa wewe jeshi pori ulikuwa wapi kuzilinda
KWA ATAKAYE IBA KURA BORA APATE UGONJWA WA UKICHAA MILELE MAANA WATU HAWA WANATUZUNGUSHA VICHWA SANA TUTAOMBA MASAADA SOUTH KOREA (WOTE HATUWEZI KUWA WATOTO) = MAANA WENGINE SIJUI WANAPAMBANA ILI IWEJE!?

NIKAMA MAWAZO AFADHALI KUELEKEA CHAMA KIMOJA CHA SIASA

CCM ( WANA MADARAKA, FEDHA, WATU, VIONGOZI WAZOEFU +ERROR TERM

CHADEMA (HAWANA MADARAKA, FEDHA CHACHE, + ERROR TERM

TADEA (HANA VITU VICHACHE AU HAKUNA KILA KITU + ERROR TERM)

HII MOVIE LABDA TUWEKE REAL STEAL (real steel - Bing video) KUEPUSHA MALUMBANO BILA JAPANI KUINGILIA KATI....
 
Moyo wa huruma autoe wapi? Pole ya kusaka kiki ndio moyo wa huruma?
KWA ATAKAYE IBA KURA BORA APATE UGONJWA WA UKICHAA MILELE MAANA WATU HAWA WANATUZUNGUSHA VICHWA SANA TUTAOMBA MASAADA SOUTH KOREA (WOTE HATUWEZI KUWA WATOTO) = MAANA WENGINE SIJUI WANAPAMBANA ILI IWEJE!?

NIKAMA MAWAZO AFADHALI KUELEKEA CHAMA KIMOJA CHA SIASA

CCM ( WANA MADARAKA, FEDHA, WATU, VIONGOZI WAZOEFU +ERROR TERM

CHADEMA (HAWANA MADARAKA, FEDHA CHACHE, + ERROR TERM

TADEA (HANA VITU VICHACHE AU HAKUNA KILA KITU + ERROR TERM)

HII MOVIE LABDA TUWEKE REAL STEAL (real steel - Bing video) KUEPUSHA MALUMBANO BILA JAPANI KUINGILIA KATI....
 
Hii alianza kuimba babu yako 1995 mpaka leo chali tu

Hata Lissu aliposhambuliwa, Magufuli aliandika twitter kuelezea masikitiko yake/kuguswa na tukio lile na kutaka vyombo vya dola viwasake wahusika wa lile tukio.
Hapo mchawi alikuwa akili msibani kwa marehemu aliyemuua
 
Yeye ndio ameelekeza zijengwe au mbowe ndio rais
Kuna watu mibichwa yenu imejaa mavi ni vipi hospitali za umma zilizojengwa kwa fedha za umma wa watanzania zinakuwa za magu! Punguzeni undondocha wenu
 
BORA MAENDELEO KARIBU ZINAWARUDISHA WAZUNGU, WACHINA, WASOUTH KOREA + ERROR TERM TWENDELEE KUCHAPA KAZI MTUMWA ITAKUWA MTUKISS
 
Vip na lisu alimpigia simu?
Vip matibabu ya lisu nani alizuia?
NB:Ogopa sana mtu mnafiki anaweza akakuua huku anakuchekea
Matibabu ya Lissu yalizuiwa na Chama chake, kutafuta umaarufu, waligoma kutimiza masharti stahiki, ambayo yalikuwa ni rahisi sana kuyatimiza.
 
Rais wetu ni mtu mwenye utu ni mtu wa watu na mkristo halisi leo amepigia simu Zitto Kabwe aliyepata ajali hapo jana na kumtakia maendeleo mema apone haraka aje wajenge nchi.

Pia rais amewashukuru manesi na madakari waliomtibu Zitto haraka kuwa huo ndio uzalendo halisi

Maendeleo ya vitu haya

USSRView attachment 1592729

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Machoni ni kama watu vile, ila mioyoni mwao .....
 
Matibabu ya Lissu yalizuiwa na Chama chake, kutafuta umaarufu, waligoma kutimiza masharti stahiki, ambayo yalikuwa ni rahisi sana kuyatimiza.
Yalizuiwa vip na chama chake ilihali spika aliiandikia familia yake kwamba rais amegoma kusign
 
Mzee sasa kajua kwamba turufu pekee aliyonayo ni kujaribu kuhakikisha Zitto haungani na Lissu!! Maana kama ni mambo ya ajali mbona Salum mwalimu alipinduka na hakupokea simu?
 
Back
Top Bottom