Rais Magufuli ammwagia sifa Mzee Lowassa, amuita 'superman'

Of course, siasa haipaswi kuwa chanzo cha uhasama, lakini mwanasiasa anayeendekeza siasa za uhasama anapomsifia mpinzani wake - mpinzani ambaye Mwenyekiti wa chama chake yupo jela muda huu kwa siasa za chuki - basi ipo namna.

Rais Magufuli amesema,
"Nakupongeza sana Lowassa kwa utulivu wako, Wewe ndo tuligombea Urais lakini nilipokutupa chini ukaenda ukapumzika Mzee wa watu wenye kelele wengine hata hawakugombea, Wewe unajua ktk mashindano yoyote kuna kushindwa"

"Vyama vyetu kamwe visiwe chanzo cha kututenganisha, nimeona nizungumze kwa heshima kubwa Mzee Lowassa ili wale unaowaongoza kule angalau ukawashauri otherwise wataishia kwenye Magereza",

Mwisho wa kunukuu.

Wapambe wa Lowassa, any comment?
KWA HIYO KUMBE YEYE KUWAPELEKA WENZIE MAGEREZA NI FURAHA YAKE,AKUMBUKE KILIO CHA FAMILIA ZAO MACHOZI YAO MWENYEZI MUNGU ANAYAPOKEA KWANI KWA MUNGU KILA KIUMBE CHENYE UHAI KINA THAMANI KUBWA SANA KWAKE NDIO MAANA WOTE TUNARUDI MAVUMBINI,NA WOTE WANYAMA PUMZI YA UHAI IPO SIKU TUTAMRUDISHIA ALIYE JUU
 
Hakuna mwanasiasa anayemjua Mungu! Hvyo mtoe Mungu hapo,
 
Of course, siasa haipaswi kuwa chanzo cha uhasama, lakini mwanasiasa anayeendekeza siasa za uhasama anapomsifia mpinzani wake - mpinzani ambaye Mwenyekiti wa chama chake yupo jela muda huu kwa siasa za chuki - basi ipo namna.

kwa sheria na mbinu za kijasusi maana yake nini?
 
"Vyama vyetu kamwe visiwe chanzo cha kututenganisha, nimeona nizungumze kwa heshima kubwa Mzee Lowassa ili wale unaowaongoza kule angalau ukawashauri otherwise wataishia kwenye Magereza",
TUNAPOSEMA KUWA KESI NYINGI ZA WAPINZANI ZINA MKONO WA SERIKALI KUNA WATU HUWA WANATOA MAPOVU, AFADHALI LEO KAAMUA KUWA MUWAZI MWENYEWE
 
Of course, siasa haipaswi kuwa chanzo cha uhasama, lakini mwanasiasa anayeendekeza siasa za uhasama anapomsifia mpinzani wake - mpinzani ambaye Mwenyekiti wa chama chake yupo jela muda huu kwa siasa za chuki - basi ipo namna.

Rais Magufuli amesema,
"Nakupongeza sana Lowassa kwa utulivu wako, Wewe ndo tuligombea Urais lakini nilipokutupa chini ukaenda ukapumzika Mzee wa watu wenye kelele wengine hata hawakugombea, Wewe unajua ktk mashindano yoyote kuna kushindwa"

"Vyama vyetu kamwe visiwe chanzo cha kututenganisha, nimeona nizungumze kwa heshima kubwa Mzee Lowassa ili wale unaowaongoza kule angalau ukawashauri otherwise wataishia kwenye Magereza",

Mwisho wa kunukuu.

Wapambe wa Lowassa, any comment?
Chahali huyu MTU ni kichaa kazi yake ni kuwavuruga watu. Alishawahi waambia wastaafu wanawashwa,
 
Kitisho kwamba " wanaokupinga wataishia jela " nakuhakikishia kwamba HILO HALITAWEZEKANA KAMWE , hii ni kwa vile hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo mwovu shetani aliwahi kumshinda Mungu .

Ukipata wasaa usikilize wimbo huu wa Jenifer Mgendi " Shimo wamenichimbia eee , wametumbukia wenyewe "
 
Of course, siasa haipaswi kuwa chanzo cha uhasama, lakini mwanasiasa anayeendekeza siasa za uhasama anapomsifia mpinzani wake - mpinzani ambaye Mwenyekiti wa chama chake yupo jela muda huu kwa siasa za chuki - basi ipo namna.

Rais Magufuli amesema,
"Nakupongeza sana Lowassa kwa utulivu wako, Wewe ndo tuligombea Urais lakini nilipokutupa chini ukaenda ukapumzika Mzee wa watu wenye kelele wengine hata hawakugombea, Wewe unajua ktk mashindano yoyote kuna kushindwa"

"Vyama vyetu kamwe visiwe chanzo cha kututenganisha, nimeona nizungumze kwa heshima kubwa Mzee Lowassa ili wale unaowaongoza kule angalau ukawashauri otherwise wataishia kwenye Magereza",

Mwisho wa kunukuu.

Wapambe wa Lowassa, any comment?

Mkuu,hii ni failed state...Mfumo mzima umeoza!

I will never trust anybody!
 
Kitisho kwamba " wanaokupinga wataishia jela " nakuhakikishia kwamba HILO HALITAWEZEKANA KAMWE , hii ni kwa vile hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo mwovu shetani aliwahi kumshinda Mungu .

Ukipata wasaa usikilize wimbo huu wa Jenifer Mgendi " Shimo wamenichimbia eee , wametumbukia wenyewe "
Nyuma ya keyboard haiwezekani
 
Of course, siasa haipaswi kuwa chanzo cha uhasama, lakini mwanasiasa anayeendekeza siasa za uhasama anapomsifia mpinzani wake - mpinzani ambaye Mwenyekiti wa chama chake yupo jela muda huu kwa siasa za chuki - basi ipo namna.

Rais Magufuli amesema,
"Nakupongeza sana Lowassa kwa utulivu wako, Wewe ndo tuligombea Urais lakini nilipokutupa chini ukaenda ukapumzika Mzee wa watu wenye kelele wengine hata hawakugombea, Wewe unajua ktk mashindano yoyote kuna kushindwa"

"Vyama vyetu kamwe visiwe chanzo cha kututenganisha, nimeona nizungumze kwa heshima kubwa Mzee Lowassa ili wale unaowaongoza kule angalau ukawashauri otherwise wataishia kwenye Magereza",

Mwisho wa kunukuu.

Wapambe wa Lowassa, any comment?
Ukiandika kama hivi ndugu yangu nitakutetea siku zote wa kukaya.

Tupende tusipende Lowasa hajawahi kuwa Mpinzani wa kweli ni msaka uongozi tu kama wenzake huko CCM. Huyu jamaa tamaa yake ya uongozi na hujuma za wenzake walafi wa madaraka kina Mbowe ndiyo walitutupatia Magufuli. Na wewe ndugu yangu wa kulaumiwa pia maana ulichangia kwa kiasi kuingia kwa hili jiwe madarakani. Lakini siwezi kukulaumu kwa hilo na hata mimi sijawahi kuwa shabiki wa huyu mzee rais wa mitandaoni na kwa kulinganisha hawa watu wawili ilikua bora Magufuli.
 
Alitaka alalamike Kama mtu binafsi...hajui Kama Lowasa aligombea kupitia chama...yaani chama kikae kimya khaaaaa...anyway nilitaka nitoe tusi....limeishia kwenye koromeo....

Sasa mtu akipiga kelele ndio aishie jela?? Si anyamaze tu na yeye Kama alivyonyamaza huyo anayemsifia.
 
Back
Top Bottom