Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,116
- 4,773
Of course, siasa haipaswi kuwa chanzo cha uhasama, lakini mwanasiasa anayeendekeza siasa za uhasama anapomsifia mpinzani wake - mpinzani ambaye Mwenyekiti wa chama chake yupo jela muda huu kwa siasa za chuki - basi ipo namna.
Rais Magufuli amesema,
"Nakupongeza sana Lowassa kwa utulivu wako, Wewe ndo tuligombea Urais lakini nilipokutupa chini ukaenda ukapumzika Mzee wa watu wenye kelele wengine hata hawakugombea, Wewe unajua ktk mashindano yoyote kuna kushindwa"
"Vyama vyetu kamwe visiwe chanzo cha kututenganisha, nimeona nizungumze kwa heshima kubwa Mzee Lowassa ili wale unaowaongoza kule angalau ukawashauri otherwise wataishia kwenye Magereza",
Mwisho wa kunukuu.
Wapambe wa Lowassa, any comment?