KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Kisa hayupo kwenye msafara wa mkulu.
=====
RAIS MAGUFULI AMTIMUA KAZI KAMANDA WA TAKUKURU MTWARA
Rais Magufuli amemfukuza kazi Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Mtwara baada ya kumuita mkutanoni Masasi akawa hayupo
Amuagiza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo kuteua Kamanda mwingine leo.
"Hapa #Masasi kuna watu wanalalamika hawajalipwa pesa zao za #Korosho tangu 2017, Viongozi wa Ushirika wametajwa wamehusika kupiga pesa na hawajachukuliwa hatua, Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Mtwara yupo hapa?, kwakuwa hayupo mwambieni kuanzia leo nimemfuta kazi”
”Narudia tena Kamanda wa #TAKUKURU Mkoa wa Mtwara si hayupo hapa?nimemfuta kazi kuanzia leo,apangiwe kazi nyingine tena wala sio kuwa RC, aletwe Kamanda mwingine leoleo usiku aje Mtwara ashirikiane na RPC kushughulikia hawa Viongozi waliodhulumu fedha za Wakulima". Amesema Rais Magufuli