Rais Magufuli amemfukuza kazi Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Mtwara

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Kisa hayupo kwenye msafara wa mkulu.

=====

RAIS MAGUFULI AMTIMUA KAZI KAMANDA WA TAKUKURU MTWARA

Rais Magufuli amemfukuza kazi Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Mtwara baada ya kumuita mkutanoni Masasi akawa hayupo

Amuagiza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo kuteua Kamanda mwingine leo.

"Hapa #Masasi kuna watu wanalalamika hawajalipwa pesa zao za #Korosho tangu 2017, Viongozi wa Ushirika wametajwa wamehusika kupiga pesa na hawajachukuliwa hatua, Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Mtwara yupo hapa?, kwakuwa hayupo mwambieni kuanzia leo nimemfuta kazi”

”Narudia tena Kamanda wa #TAKUKURU Mkoa wa Mtwara si hayupo hapa?nimemfuta kazi kuanzia leo,apangiwe kazi nyingine tena wala sio kuwa RC, aletwe Kamanda mwingine leoleo usiku aje Mtwara ashirikiane na RPC kushughulikia hawa Viongozi waliodhulumu fedha za Wakulima". Amesema Rais Magufuli

Japo mambo mengine haya yanashangiliwa, mengine ni bullying. Principles of natural justice zinasisitiza no one is condemned unheard. Kiongozi yeyote wa umma anaweza kuwa na excuses yoyote genuine na asiwepo kwenye ziara ya Rais, unless hata kama mtu unaumwa na uko kwenye drip, unakwenda nayo!.
P
 
Japo mambo mengine haya yanashangiliwa, mengine ni bullying. Principles of natural justice zinasisitiza no one is condemned unheard. Kiongozi yoyote wa umma anaweza kuwa na excuses yoyote genuine na asiwepo kwenye ziara ya rais, unless hata kama mtu unaumwa na uko kwenye drip, unakwenda nayo!.
P

Huyu mbaba jamanii....maamuzi yake huwa siyaelewi

Nilimshangaa pia alipowalazimisha DC na OCD huko katavi sijui Rukwa kulipa 15 kwa Bibi aliyeibiwa ng'ombe, wakati wizi ni kosa lenye dhamana. Yaani DC aache kazi awe anamlimda mtuhumiwa.

Ina Kaba kooni Basi tu
 
Japo mambo mengine haya yanashangiliwa, mengine ni bullying. Principles of natural justice zinasisitiza no one is condemned unheard. Kiongozi yoyote wa umma anaweza kuwa na excuses yoyote genuine na asiwepo kwenye ziara ya rais, unless hata kama mtu unaumwa na uko kwenye drip, unakwenda nayo!.
P
Anaweza kusema ulishindwa kutuma hata mwakilishi?, au inawezekana yupo hapo hapo mkutanoni ila kashikwa na tumbo la kuharisha ghafla
 
Japo mambo mengine haya yanashangiliwa, mengine ni bullying. Principles of natural justice zinasisitiza no one is condemned unheard. Kiongozi yoyote wa umma anaweza kuwa na excuses yoyote genuine na asiwepo kwenye ziara ya rais, unless hata kama mtu unaumwa na uko kwenye drip, unakwenda nayo!.
P
Rais mpendwa amefanya kazi nzuri sana hakuna sababu ya mfanyakazi wa umma kutokuwepo kwenye mkutano wake.

#Niguse Nikutumbue#

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom