Harafu akaona solution ya tatizo ni viongozi wa dini kuwaombea wapelelezi badala ya kuwawekea masharti ya uwajibikaji ili wawe accountableMheshimiwa Rais anasikitishwa sana na uonevu wanaofanyiwa Watanzania "wanyonge".
Pole kwa wote ambao bado wanamsikiliza na kumuamini magufuliKama kichwa changu cha habari kinavyouliza hivi Rais Magufuli "ameguswa" na nini hadi awakenee waendesha mashtaka wanaochelewesha upelelezi wa kesi zilizoko mahakamani, jambo linalosababisha watuhumiwa wengi kuendelea kupata mateso ya hali ya juu, kwa kuendelea kusota rumande kwa kipindi kirefu sana?
Tunajua kuwa wapo watuhumiwa wengi ambao wako mahabusu kwa kesi za kubambika za utakatishaji pesa, ambazo wao waendesha mashitaka wanajua kuwa hazina dhamana, hivyo kuzitumia kama "fimbo" ya kuwatesea watuhumiwa hao ambao hawana hatia.
Hebu tujaribu ku-imagine kwa mfano kesi ya mwandishi wa habari Erick Kabendera, huu ni mwezi wa 8, kila kesi hiyo inapotajwa hapo mahakamani, waendesha mashitaka hao, wanadai kuwa upelelezi hawajaukamilisha!
Hivi inawezekanaje kwa Polisi kupeleka kesi mahakamani, tena ya utakatishaji pesa, wakati upelelezi bado haukakamilika?
Hivi hiyo siyo njia tu ya kuwakomoa watuhumiwa hao wa utakatishaji pesa, kwa vile hao Polisi wanajua kuwa kesi hizo hazina dhamana?
Sasa Rais Magufuli amesema walaaniwe waendesha mashitaka hao, wanaosababisha mateso makubwa kwa watuhumiwa, kwa kuendelea "kuwasotesha" rumande.
Hata kama kwa mawazo ya wengi kuwa walidhani kuwa Jiwe ndiye "mastermind" wa kesi hizo, sasa keshawaruka futi 10,000.
Kwa hiyo kazi kwenu zigo lote la ubaya kawabakizia nyinyi Polisi waendesha mashitaka na akahitimisha kwa kusema mlaaniwe kwa kuwabambikizia kesi hizo za utakatishaji pesa mkiwa na lengo la "kuwakomoa" watuhumiwa hao ili waozee jela!
Nami niongezee kwa kumwomba Mungu wetu ili awalaani na kuwatia "uzezeta" hao Polisi wote wanaowabambikia kesi za utakatishaji pesa watuhumiwa kwa lengo tu la kuwasotesha kwa kipindi kirefu, watuhumiwa hao wasio na hatia.
Shida ni ccmKuna mambo ya siasa ila hili si la siasa,haki ya mtu ni stahiki yake halali anayostahili kuipata kwa mda na mahali sahihi, niliwahi zungumza yakuwa mfumo wa mahakama wa tanzania ni mbovu sana unahitaji marekebisho makubwa,pia nguvu ya askar ni kubwa sana.
Na hii ndio tanzania yetu kila kiongozi kumlaumu aliyeko chini au juu yake,
Karibu tanzania!
Maajabu ya duniaKama kichwa changu cha habari kinavyouliza hivi Rais Magufuli "ameguswa" na nini hadi awakenee waendesha mashtaka wanaochelewesha upelelezi wa kesi zilizoko mahakamani, jambo linalosababisha watuhumiwa wengi kuendelea kupata mateso ya hali ya juu, kwa kuendelea kusota rumande kwa kipindi kirefu sana?
Tunajua kuwa wapo watuhumiwa wengi ambao wako mahabusu kwa kesi za kubambika za utakatishaji pesa, ambazo wao waendesha mashitaka wanajua kuwa hazina dhamana, hivyo kuzitumia kama "fimbo" ya kuwatesea watuhumiwa hao ambao hawana hatia.
Hebu tujaribu ku-imagine kwa mfano kesi ya mwandishi wa habari Erick Kabendera, huu ni mwezi wa 8, kila kesi hiyo inapotajwa hapo mahakamani, waendesha mashitaka hao, wanadai kuwa upelelezi hawajaukamilisha!
Hivi inawezekanaje kwa Polisi kupeleka kesi mahakamani, tena ya utakatishaji pesa, wakati upelelezi bado haukakamilika?
Hivi hiyo siyo njia tu ya kuwakomoa watuhumiwa hao wa utakatishaji pesa, kwa vile hao Polisi wanajua kuwa kesi hizo hazina dhamana?
Sasa Rais Magufuli amesema walaaniwe waendesha mashitaka hao, wanaosababisha mateso makubwa kwa watuhumiwa, kwa kuendelea "kuwasotesha" rumande.
Hata kama kwa mawazo ya wengi kuwa walidhani kuwa Jiwe ndiye "mastermind" wa kesi hizo, sasa keshawaruka futi 10,000.
Kwa hiyo kazi kwenu zigo lote la ubaya kawabakizia nyinyi Polisi waendesha mashitaka na akahitimisha kwa kusema mlaaniwe kwa kuwabambikizia kesi hizo za utakatishaji pesa mkiwa na lengo la "kuwakomoa" watuhumiwa hao ili waozee jela!
Nami niongezee kwa kumwomba Mungu wetu ili awalaani na kuwatia "uzezeta" hao Polisi wote wanaowabambikia kesi za utakatishaji pesa watuhumiwa kwa lengo tu la kuwasotesha kwa kipindi kirefu, watuhumiwa hao wasio na hatia.
Mheshimiwa Rais anasikitishwa sana na uonevu wanaofanyiwa Watanzania "wanyonge".
Ewaaaa sasa tupo pamoja ndo ujue sio kila anaelia msibani amefiwa wengine wanasindikiza tuMkuu Shark mimi nilielewa kuwa Jiwe ni muigizaji wa kiwango cha hali ya juu sana!
Mbona asikitishwe ilihali ana mamlaka ya kuamuru na kuchukua hatua? Awafute kazi basi ili ionekane kuguzwa kwake! Kwani aliyemteua igp, mwendesha mashtaka na mwanasheria mkuu ni nani? Awafute kazi kwa wanayowatendea hao wanyonge anaowaongoza ili kujiswafi na kinyume chake ni unafiki unaozidi unafiki wenyewe!Mheshimiwa Rais anasikitishwa sana na uonevu wanaofanyiwa Watanzania "wanyonge".
Kama kichwa changu cha habari kinavyouliza hivi Rais Magufuli "ameguswa" na nini hadi awakenee waendesha mashtaka wanaochelewesha upelelezi wa kesi zilizoko mahakamani, jambo linalosababisha watuhumiwa wengi kuendelea kupata mateso ya hali ya juu, kwa kuendelea kusota rumande kwa kipindi kirefu sana?
Tunajua kuwa wapo watuhumiwa wengi ambao wako mahabusu kwa kesi za kubambika za utakatishaji pesa, ambazo wao waendesha mashitaka wanajua kuwa hazina dhamana, hivyo kuzitumia kama "fimbo" ya kuwatesea watuhumiwa hao ambao hawana hatia.
Hebu tujaribu ku-imagine kwa mfano kesi ya mwandishi wa habari Erick Kabendera, huu ni mwezi wa 8, kila kesi hiyo inapotajwa hapo mahakamani, waendesha mashitaka hao, wanadai kuwa upelelezi hawajaukamilisha!
Hivi inawezekanaje kwa Polisi kupeleka kesi mahakamani, tena ya utakatishaji pesa, wakati upelelezi bado haukakamilika?
Hivi hiyo siyo njia tu ya kuwakomoa watuhumiwa hao wa utakatishaji pesa, kwa vile hao Polisi wanajua kuwa kesi hizo hazina dhamana?
Sasa Rais Magufuli amesema walaaniwe waendesha mashitaka hao, wanaosababisha mateso makubwa kwa watuhumiwa, kwa kuendelea "kuwasotesha" rumande.
Hata kama kwa mawazo ya wengi kuwa walidhani kuwa Jiwe ndiye "mastermind" wa kesi hizo, sasa keshawaruka futi 10,000.
Kwa hiyo kazi kwenu zigo lote la ubaya kawabakizia nyinyi Polisi waendesha mashitaka na akahitimisha kwa kusema mlaaniwe kwa kuwabambikizia kesi hizo za utakatishaji pesa mkiwa na lengo la "kuwakomoa" watuhumiwa hao ili waozee jela!
Nami niongezee kwa kumwomba Mungu wetu ili awalaani na kuwatia "uzezeta" hao Polisi wote wanaowabambikia kesi za utakatishaji pesa watuhumiwa kwa lengo tu la kuwasotesha kwa kipindi kirefu, watuhumiwa hao wasio na hatia.
Shida Kubwa huwa mnapenda kumwekea maneno. Ndo mana unajikuta unajiuliza. Rais Sio katibu Kata. Ana mambo mengi sana. Lakini wote mmeamua kujisahaulisha na kudhani anatawala kijiji cha KIBITI
Off course hawamo. Kama Ruge ni mnyonge then Taifa zima ni la wanyonge.Au ndiyo kusema wao hawamo katika hilo kundi la wanyonge?
Umenena ukweli mtupu kwa asilimia 100 Mkuu MnasihiMbona asikitishwe ilihali ana mamlaka ya kuamuru na kuchukua hatua? Awafute kazi basi ili ionekane kuguzwa kwake! Kwani aliyemteua igp, mwendesha mashtaka na mwanasheria mkuu ni nani? Awafute kazi kwa wanayowatendea hao wanyonge anaowaongoza ili kujiswafi na kinyume chake ni unafiki unaozidi unafiki wenyewe!
Kwani hao wako ndani kwa amri ya nani? Sisi sio wajinga kiasi hicho cha danganya toto.Hao nao upelelezi hauwezi kukamilika kwa sababu wamebambikizwa tu bila kuwa na hatia.Je kwa hapo unategemea kweli upelelezi utakamilika ? kitu cha kusingiziwa ushahidi utatoka wapi.ni order kutoka juu.Hivyo hivyo wanasubiri order kutoka juu ili upelelezi ukamilike.Kama kichwa changu cha habari kinavyouliza hivi Rais Magufuli "ameguswa" na nini hadi awakenee waendesha mashtaka wanaochelewesha upelelezi wa kesi zilizoko mahakamani, jambo linalosababisha watuhumiwa wengi kuendelea kupata mateso ya hali ya juu, kwa kuendelea kusota rumande kwa kipindi kirefu sana?
Tunajua kuwa wapo watuhumiwa wengi ambao wako mahabusu kwa kesi za kubambika za utakatishaji pesa, ambazo wao waendesha mashitaka wanajua kuwa hazina dhamana, hivyo kuzitumia kama "fimbo" ya kuwatesea watuhumiwa hao ambao hawana hatia.
Hebu tujaribu ku-imagine kwa mfano kesi ya mwandishi wa habari Erick Kabendera, huu ni mwezi wa 8, kila kesi hiyo inapotajwa hapo mahakamani, waendesha mashitaka hao, wanadai kuwa upelelezi hawajaukamilisha!
Hivi inawezekanaje kwa Polisi kupeleka kesi mahakamani, tena ya utakatishaji pesa, wakati upelelezi bado haukakamilika?
Hivi hiyo siyo njia tu ya kuwakomoa watuhumiwa hao wa utakatishaji pesa, kwa vile hao Polisi wanajua kuwa kesi hizo hazina dhamana?
Sasa Rais Magufuli amesema walaaniwe waendesha mashitaka hao, wanaosababisha mateso makubwa kwa watuhumiwa, kwa kuendelea "kuwasotesha" rumande.
Hata kama kwa mawazo ya wengi kuwa walidhani kuwa Jiwe ndiye "mastermind" wa kesi hizo, sasa keshawaruka futi 10,000.
Kwa hiyo kazi kwenu zigo lote la ubaya kawabakizia nyinyi Polisi waendesha mashitaka na akahitimisha kwa kusema mlaaniwe kwa kuwabambikizia kesi hizo za utakatishaji pesa mkiwa na lengo la "kuwakomoa" watuhumiwa hao ili waozee jela!
Nami niongezee kwa kumwomba Mungu wetu ili awalaani na kuwatia "uzezeta" hao Polisi wote wanaowabambikia kesi za utakatishaji pesa watuhumiwa kwa lengo tu la kuwasotesha kwa kipindi kirefu, watuhumiwa hao wasio na hatia.
Upelelezi ni kazi ya Judge Mkuu na au taasisi anayoiongoza?Kama Rais kaliona hilo, Jaji Mkuu, mteule wa Rais anangoja nini kujiuzuru ili apate heshima ya kuteuliwa kuwa Balozi?
Kesi miaka minne (4) ushahidi haujakamilika, mtuhumiwa yuko mahabusu, kwa Nini hizo kesi zisifutwe?
Mheshimiwa Jaji Mkuu, hivi hakuna muda maalum wa kufanya upelelezi kwa makosa yasiyokuwa na dhamana?
Ni vigezo gani Polisi hutumia kumtuhumu mtu kwa makosa yasiyokuwa na dhamana ili Hali hawana ushahidi?
IGP, DCI na DPP wanastahili kufunguliwa kesi za madai.
Kwahiyo akiwafuta kazi hao uliowataja ndio kesi zitawahishwa na au kuisha mapema?Mbona asikitishwe ilihali ana mamlaka ya kuamuru na kuchukua hatua? Awafute kazi basi ili ionekane kuguzwa kwake! Kwani aliyemteua igp, mwendesha mashtaka na mwanasheria mkuu ni nani? Awafute kazi kwa wanayowatendea hao wanyonge anaowaongoza ili kujiswafi na kinyume chake ni unafiki unaozidi unafiki wenyewe!
JPM anafikiri na amejihakikishia kuwa Watanzania wote ni Wajinga.
Maswali yako ya kichokozi au wamekutuma?Alaa kumbe Mkuu Mkaruka una maana kuwa yeye mwenyewe ndiyo "mastermind" wa hizi adha zote hizi zinazowapata hawa watuhumiwa wanaobambikiwa kesi za utakatishaji pesa?
Kwahiyo akiwafuta kazi hao uliowataja ndio kesi zitawahishwa na au kuisha mapema?
Mwaka wa uchaguzi huuKama kichwa changu cha habari kinavyouliza hivi Rais Magufuli "ameguswa" na nini hadi awakenee waendesha mashtaka wanaochelewesha upelelezi wa kesi zilizoko mahakamani, jambo linalosababisha watuhumiwa wengi kuendelea kupata mateso ya hali ya juu, kwa kuendelea kusota rumande kwa kipindi kirefu sana?