Rais Magufuli ameguswa na nini hadi kuwakemea waendesha mashtaka kwa kuchelewesha upelelezi kwa watuhumiwa wanaoozea jela?

Mheshimiwa Rais anasikitishwa sana na uonevu wanaofanyiwa Watanzania "wanyonge".
Harafu akaona solution ya tatizo ni viongozi wa dini kuwaombea wapelelezi badala ya kuwawekea masharti ya uwajibikaji ili wawe accountable
 
Kama kichwa changu cha habari kinavyouliza hivi Rais Magufuli "ameguswa" na nini hadi awakenee waendesha mashtaka wanaochelewesha upelelezi wa kesi zilizoko mahakamani, jambo linalosababisha watuhumiwa wengi kuendelea kupata mateso ya hali ya juu, kwa kuendelea kusota rumande kwa kipindi kirefu sana?

Tunajua kuwa wapo watuhumiwa wengi ambao wako mahabusu kwa kesi za kubambika za utakatishaji pesa, ambazo wao waendesha mashitaka wanajua kuwa hazina dhamana, hivyo kuzitumia kama "fimbo" ya kuwatesea watuhumiwa hao ambao hawana hatia.

Hebu tujaribu ku-imagine kwa mfano kesi ya mwandishi wa habari Erick Kabendera, huu ni mwezi wa 8, kila kesi hiyo inapotajwa hapo mahakamani, waendesha mashitaka hao, wanadai kuwa upelelezi hawajaukamilisha!

Hivi inawezekanaje kwa Polisi kupeleka kesi mahakamani, tena ya utakatishaji pesa, wakati upelelezi bado haukakamilika?

Hivi hiyo siyo njia tu ya kuwakomoa watuhumiwa hao wa utakatishaji pesa, kwa vile hao Polisi wanajua kuwa kesi hizo hazina dhamana?

Sasa Rais Magufuli amesema walaaniwe waendesha mashitaka hao, wanaosababisha mateso makubwa kwa watuhumiwa, kwa kuendelea "kuwasotesha" rumande.

Hata kama kwa mawazo ya wengi kuwa walidhani kuwa Jiwe ndiye "mastermind" wa kesi hizo, sasa keshawaruka futi 10,000.

Kwa hiyo kazi kwenu zigo lote la ubaya kawabakizia nyinyi Polisi waendesha mashitaka na akahitimisha kwa kusema mlaaniwe kwa kuwabambikizia kesi hizo za utakatishaji pesa mkiwa na lengo la "kuwakomoa" watuhumiwa hao ili waozee jela!

Nami niongezee kwa kumwomba Mungu wetu ili awalaani na kuwatia "uzezeta" hao Polisi wote wanaowabambikia kesi za utakatishaji pesa watuhumiwa kwa lengo tu la kuwasotesha kwa kipindi kirefu, watuhumiwa hao wasio na hatia.
Pole kwa wote ambao bado wanamsikiliza na kumuamini magufuli
 
Kuna mambo ya siasa ila hili si la siasa,haki ya mtu ni stahiki yake halali anayostahili kuipata kwa mda na mahali sahihi, niliwahi zungumza yakuwa mfumo wa mahakama wa tanzania ni mbovu sana unahitaji marekebisho makubwa,pia nguvu ya askar ni kubwa sana.

Na hii ndio tanzania yetu kila kiongozi kumlaumu aliyeko chini au juu yake,
Karibu tanzania!
Shida ni ccm
 
Kama kichwa changu cha habari kinavyouliza hivi Rais Magufuli "ameguswa" na nini hadi awakenee waendesha mashtaka wanaochelewesha upelelezi wa kesi zilizoko mahakamani, jambo linalosababisha watuhumiwa wengi kuendelea kupata mateso ya hali ya juu, kwa kuendelea kusota rumande kwa kipindi kirefu sana?

Tunajua kuwa wapo watuhumiwa wengi ambao wako mahabusu kwa kesi za kubambika za utakatishaji pesa, ambazo wao waendesha mashitaka wanajua kuwa hazina dhamana, hivyo kuzitumia kama "fimbo" ya kuwatesea watuhumiwa hao ambao hawana hatia.

Hebu tujaribu ku-imagine kwa mfano kesi ya mwandishi wa habari Erick Kabendera, huu ni mwezi wa 8, kila kesi hiyo inapotajwa hapo mahakamani, waendesha mashitaka hao, wanadai kuwa upelelezi hawajaukamilisha!

Hivi inawezekanaje kwa Polisi kupeleka kesi mahakamani, tena ya utakatishaji pesa, wakati upelelezi bado haukakamilika?

Hivi hiyo siyo njia tu ya kuwakomoa watuhumiwa hao wa utakatishaji pesa, kwa vile hao Polisi wanajua kuwa kesi hizo hazina dhamana?

Sasa Rais Magufuli amesema walaaniwe waendesha mashitaka hao, wanaosababisha mateso makubwa kwa watuhumiwa, kwa kuendelea "kuwasotesha" rumande.

Hata kama kwa mawazo ya wengi kuwa walidhani kuwa Jiwe ndiye "mastermind" wa kesi hizo, sasa keshawaruka futi 10,000.

Kwa hiyo kazi kwenu zigo lote la ubaya kawabakizia nyinyi Polisi waendesha mashitaka na akahitimisha kwa kusema mlaaniwe kwa kuwabambikizia kesi hizo za utakatishaji pesa mkiwa na lengo la "kuwakomoa" watuhumiwa hao ili waozee jela!

Nami niongezee kwa kumwomba Mungu wetu ili awalaani na kuwatia "uzezeta" hao Polisi wote wanaowabambikia kesi za utakatishaji pesa watuhumiwa kwa lengo tu la kuwasotesha kwa kipindi kirefu, watuhumiwa hao wasio na hatia.
Maajabu ya dunia
 
Mheshimiwa Rais anasikitishwa sana na uonevu wanaofanyiwa Watanzania "wanyonge".

Kama Rais kaliona hilo, Jaji Mkuu, mteule wa Rais anangoja nini kujiuzuru ili apate heshima ya kuteuliwa kuwa Balozi?

Kesi miaka minne (4) ushahidi haujakamilika, mtuhumiwa yuko mahabusu, kwa Nini hizo kesi zisifutwe?

Mheshimiwa Jaji Mkuu, hivi hakuna muda maalum wa kufanya upelelezi kwa makosa yasiyokuwa na dhamana?

Ni vigezo gani Polisi hutumia kumtuhumu mtu kwa makosa yasiyokuwa na dhamana ili Hali hawana ushahidi?

IGP, DCI na DPP wanastahili kufunguliwa kesi za madai.
 
Mbona asikitishwe ilihali ana mamlaka ya kuamuru na kuchukua hatua? Awafute kazi basi ili ionekane kuguzwa kwake! Kwani aliyemteua igp, mwendesha mashtaka na mwanasheria mkuu ni nani? Awafute kazi kwa wanayowatendea hao wanyonge anaowaongoza ili kujiswafi na kinyume chake ni unafiki unaozidi unafiki wenyewe!
 
Shida Kubwa huwa mnapenda kumwekea maneno. Ndo mana unajikuta unajiuliza. Rais Sio katibu Kata. Ana mambo mengi sana. Lakini wote mmeamua kujisahaulisha na kudhani anatawala kijiji cha KIBITI
 
Kama kalijuwa la kuwatesa WANYONGE, achukue hatua, afukuze kazi (atumbue) IGP, DCI, DPP JAJI MKUU na MWANASHERIA MKUU (AG) KWA KUSHINDWA KUMSHAURI VIZURI.

MBONA KIBITI ALIWEZA,

JE, ALIENDA KUISHI KIBITI?
 
Au ndiyo kusema wao hawamo katika hilo kundi la wanyonge?
Off course hawamo. Kama Ruge ni mnyonge then Taifa zima ni la wanyonge.

Tatizo ni pale anapkwaonea wanyonge na kusahau kuwa hata akina Ruge Wana ngozi na haki zao kama wengine wote.
 
Mbona asikitishwe ilihali ana mamlaka ya kuamuru na kuchukua hatua? Awafute kazi basi ili ionekane kuguzwa kwake! Kwani aliyemteua igp, mwendesha mashtaka na mwanasheria mkuu ni nani? Awafute kazi kwa wanayowatendea hao wanyonge anaowaongoza ili kujiswafi na kinyume chake ni unafiki unaozidi unafiki wenyewe!
Umenena ukweli mtupu kwa asilimia 100 Mkuu Mnasihi
 
Kama kichwa changu cha habari kinavyouliza hivi Rais Magufuli "ameguswa" na nini hadi awakenee waendesha mashtaka wanaochelewesha upelelezi wa kesi zilizoko mahakamani, jambo linalosababisha watuhumiwa wengi kuendelea kupata mateso ya hali ya juu, kwa kuendelea kusota rumande kwa kipindi kirefu sana?

Tunajua kuwa wapo watuhumiwa wengi ambao wako mahabusu kwa kesi za kubambika za utakatishaji pesa, ambazo wao waendesha mashitaka wanajua kuwa hazina dhamana, hivyo kuzitumia kama "fimbo" ya kuwatesea watuhumiwa hao ambao hawana hatia.

Hebu tujaribu ku-imagine kwa mfano kesi ya mwandishi wa habari Erick Kabendera, huu ni mwezi wa 8, kila kesi hiyo inapotajwa hapo mahakamani, waendesha mashitaka hao, wanadai kuwa upelelezi hawajaukamilisha!

Hivi inawezekanaje kwa Polisi kupeleka kesi mahakamani, tena ya utakatishaji pesa, wakati upelelezi bado haukakamilika?

Hivi hiyo siyo njia tu ya kuwakomoa watuhumiwa hao wa utakatishaji pesa, kwa vile hao Polisi wanajua kuwa kesi hizo hazina dhamana?

Sasa Rais Magufuli amesema walaaniwe waendesha mashitaka hao, wanaosababisha mateso makubwa kwa watuhumiwa, kwa kuendelea "kuwasotesha" rumande.

Hata kama kwa mawazo ya wengi kuwa walidhani kuwa Jiwe ndiye "mastermind" wa kesi hizo, sasa keshawaruka futi 10,000.

Kwa hiyo kazi kwenu zigo lote la ubaya kawabakizia nyinyi Polisi waendesha mashitaka na akahitimisha kwa kusema mlaaniwe kwa kuwabambikizia kesi hizo za utakatishaji pesa mkiwa na lengo la "kuwakomoa" watuhumiwa hao ili waozee jela!

Nami niongezee kwa kumwomba Mungu wetu ili awalaani na kuwatia "uzezeta" hao Polisi wote wanaowabambikia kesi za utakatishaji pesa watuhumiwa kwa lengo tu la kuwasotesha kwa kipindi kirefu, watuhumiwa hao wasio na hatia.
Kwani hao wako ndani kwa amri ya nani? Sisi sio wajinga kiasi hicho cha danganya toto.Hao nao upelelezi hauwezi kukamilika kwa sababu wamebambikizwa tu bila kuwa na hatia.Je kwa hapo unategemea kweli upelelezi utakamilika ? kitu cha kusingiziwa ushahidi utatoka wapi.ni order kutoka juu.Hivyo hivyo wanasubiri order kutoka juu ili upelelezi ukamilike.

Nadhani kwa sasa hivi imebidi afanye hivyo kuwatupia lawama hao maafande ili yeye ajitoe kwani nguvu iliyombele yake ni kubwa mno na hivyo anajaribu kuwasingizia jamaa ili waonekane hawafanyi kazi.Mimi nadhani kama desturi yao ilivyo,wameshindwa kufanya wajibu wao msumeno uliotumia kama kweli ni uzembe wao kutesa watu uwapitie kama ulivyowapitia kina lugola na wengine kwa sababu hili ni baya kuliko yoooote yaliyopita ukiacha la Mh.Mbunge TLP.La kama sivyo order kutoka juu ifanye yake.

Lakini lingine nililoliona mimi,kipindi hiki huko mahabusu hapatoshi na sasa gharama ya kuwalisha inalemea serikali, hivyo ni muhimu kutafuta njia ya kuwapunguza huko angalau gharama zipungue.Niambie mahabusu mmoja anapiga shs.ngapi kwa siku na amekaa hafanyi chochote.Ona huyo mmoja tu kapiga miezi 8 hapo kapiga ngapi.Jamani tuwe na huruma.

Ila la muhimu sana sana hiki ni kipindi cha.............kimefika.Ni muhimu kusafisha njia.Jua hayo.
 
Kama Rais kaliona hilo, Jaji Mkuu, mteule wa Rais anangoja nini kujiuzuru ili apate heshima ya kuteuliwa kuwa Balozi?

Kesi miaka minne (4) ushahidi haujakamilika, mtuhumiwa yuko mahabusu, kwa Nini hizo kesi zisifutwe?

Mheshimiwa Jaji Mkuu, hivi hakuna muda maalum wa kufanya upelelezi kwa makosa yasiyokuwa na dhamana?

Ni vigezo gani Polisi hutumia kumtuhumu mtu kwa makosa yasiyokuwa na dhamana ili Hali hawana ushahidi?

IGP, DCI na DPP wanastahili kufunguliwa kesi za madai.
Upelelezi ni kazi ya Judge Mkuu na au taasisi anayoiongoza?
 
Mbona asikitishwe ilihali ana mamlaka ya kuamuru na kuchukua hatua? Awafute kazi basi ili ionekane kuguzwa kwake! Kwani aliyemteua igp, mwendesha mashtaka na mwanasheria mkuu ni nani? Awafute kazi kwa wanayowatendea hao wanyonge anaowaongoza ili kujiswafi na kinyume chake ni unafiki unaozidi unafiki wenyewe!
Kwahiyo akiwafuta kazi hao uliowataja ndio kesi zitawahishwa na au kuisha mapema?
 
Ili wawekwe wenye kutimiza wajibu wao.

Na walioonewa wapate HAKI Yao ikiwamo fidia.

Wanasheria nguli mko wapi?

Hiyo ni fursa.
 
Kama kichwa changu cha habari kinavyouliza hivi Rais Magufuli "ameguswa" na nini hadi awakenee waendesha mashtaka wanaochelewesha upelelezi wa kesi zilizoko mahakamani, jambo linalosababisha watuhumiwa wengi kuendelea kupata mateso ya hali ya juu, kwa kuendelea kusota rumande kwa kipindi kirefu sana?

Tunajua kuwa wapo watuhumiwa wengi ambao wako mahabusu kwa kesi za kubambika za utakatishaji pesa, ambazo wao waendesha mashitaka wanajua kuwa hazina dhamana, hivyo kuzitumia kama "fimbo" ya kuwatesea watuhumiwa hao ambao hawana hatia.

Hebu tujaribu ku-imagine kwa mfano kesi ya mwandishi wa habari Erick Kabendera, huu ni mwezi wa 8, kila kesi hiyo inapotajwa hapo mahakamani, waendesha mashitaka hao, wanadai kuwa upelelezi hawajaukamilisha!

Hivi inawezekanaje kwa Polisi kupeleka kesi mahakamani, tena ya utakatishaji pesa, wakati upelelezi bado haukakamilika?

Hivi hiyo siyo njia tu ya kuwakomoa watuhumiwa hao wa utakatishaji pesa, kwa vile hao Polisi wanajua kuwa kesi hizo hazina dhamana?

Sasa Rais Magufuli amesema walaaniwe waendesha mashitaka hao, wanaosababisha mateso makubwa kwa watuhumiwa, kwa kuendelea "kuwasotesha" rumande.

Hata kama kwa mawazo ya wengi kuwa walidhani kuwa Jiwe ndiye "mastermind" wa kesi hizo, sasa keshawaruka futi 10,000.

Kwa hiyo kazi kwenu zigo lote la ubaya kawabakizia nyinyi Polisi waendesha mashitaka na akahitimisha kwa kusema mlaaniwe kwa kuwabambikizia kesi hizo za utakatishaji pesa mkiwa na lengo la "kuwakomoa" watuhumiwa hao ili waozee jela!

Nami niongezee kwa kumwomba Mungu wetu ili awalaani na kuwatia "uzezeta" hao Polisi wote wanaowabambikia kesi za utakatishaji pesa watuhumiwa kwa lengo tu la kuwasotesha kwa kipindi kirefu, watuhumiwa hao wasio na hatia.
Mwaka wa uchaguzi huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom