Rais Magufuli aliposema tuna akiba ya fedha za kigeni kuendesha Nchi kwa miezi sita bila kuzalisha hawakuamini, sasa tunaenda mwezi wa tatu

Mimi huwa namwamini sana Rais Magufuli katika hotuba si mtu wa porojo wala kupindisha maneno, anaongea ukweli

Unaweza kumwita Magufuli ni Mussa anayetupeleka katika Nchi ya ahadi, alinusa kuwa dunia itakumbwa na msuko suko wakajipanga mapem.

Kipindi cha nyuma kidogo Rais Magufuli aliwahi kuwaambia Wananchi wake kuwa Serkali ina akiba ya fedha za kigeni kuendesha Nchi kwa miezi sita bila kuzalisha,kuna baadhi ya wanasiasa walitilia mashaka maneno yake

Lakini ukweli Sasa umedhihirika ,tunaingia mwezi wa watatu toka korona iingie Africa mashariki Hivyo kupelekea shughuli nyingi za uchumi kusimama Mfano sector ya utalii imesimama kabisa ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa katika pato la Taifa ,na shughuli nyingine nyingi za kiuchumi zimesimama Kwasasa

Lakini Ukiangalia Mambo yanaenda barabara husikii ukosefu wa petrol, husikii wabunge wamekosa posho tofauti na Rwanda ambapo Viongozi wanakatwa mishahara ili kufidia mapungufu ya Serkali yaani kwa ufupi Mambo ni swadakta

Hii Ndio faida ya kiongozi anayewaza mambo ya kesho

Tunazidi kukuombea Rais wetu, Mungu aendelee kukupa busara na upendo ili uendelee kututumikia vyema sisi Watanzania.

Corona upite mbali uiache Tanzania ,Ndani ya May shughuli za kiuchumi zirejelee

Sent using Jamii Forums mobile app
The guy left our country unprepared and unprotected for the worst public health and economic crisis in our lifetime — and now we're paying the price.
 
Tundulissu alisema serikali inunue chakula haina shamba, tukampuuza, Tena akina aliyo acha JK tukaigawa msumbiji na Zimbabwe, Sasa ndio tunaanza kuokoteleza vimahindi mtaani,

Tumesema yaachieni matata ya Kisena yasaidie kupunguza msongamano hamtaki, tumewambia pimeni wadereva wa mafuso na semitrailer hamtaki, sijui watu wengine mkoje?
 
We should not concentrate on blaming, let's focus on how to solve the outbreak of pandemic

We believe together we can overcome the situation

Our President,his Excellency Magufuli is alive 24/7
He likes working and working....

Let's trust this Man of God, who loves his people

The guy left our country unprepared and unprotected for the worst public health and economic crisis in our lifetime — and now we're paying the price.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What's wrong with you brother

Kwanini una laumu tu,unaamka unalaumu tu, una lala unalaumu tu

Why not come with a solution and not put your efforts on negativity

Serkali Mbona inafanya kila linalowezekana kutokomeza hili balaa!
Kitu gani serkali haijafanya?

Come on brother, ipende Nchi yako there is no place like home
Tundulissu alisema serikali inunue chakula haina shamba, tukampuuza, Tena akina aliyo acha JK tukaigawa msumbiji na Zimbabwe, Sasa ndio tunaanza kuokoteleza vimahindi mtaani,

Tumesema yaachieni matata ya Kisena yasaidie kupunguza msongamano hamtaki, tumewambia pimeni wadereva wa mafuso na semitrailer hamtaki, sijui watu wengine mkoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa namwamini sana Rais Magufuli katika hotuba si mtu wa porojo wala kupindisha maneno, anaongea ukweli

Unaweza kumwita Magufuli ni Mussa anayetupeleka katika Nchi ya ahadi, alinusa kuwa dunia itakumbwa na msuko suko wakajipanga mapem.

Kipindi cha nyuma kidogo Rais Magufuli aliwahi kuwaambia Wananchi wake kuwa Serkali ina akiba ya fedha za kigeni kuendesha Nchi kwa miezi sita bila kuzalisha,kuna baadhi ya wanasiasa walitilia mashaka maneno yake

Lakini ukweli Sasa umedhihirika ,tunaingia mwezi wa watatu toka korona iingie Africa mashariki Hivyo kupelekea shughuli nyingi za uchumi kusimama Mfano sector ya utalii imesimama kabisa ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa katika pato la Taifa ,na shughuli nyingine nyingi za kiuchumi zimesimama Kwasasa

Lakini Ukiangalia Mambo yanaenda barabara husikii ukosefu wa petrol, husikii wabunge wamekosa posho tofauti na Rwanda ambapo Viongozi wanakatwa mishahara ili kufidia mapungufu ya Serkali yaani kwa ufupi Mambo ni swadakta

Hii Ndio faida ya kiongozi anayewaza mambo ya kesho

Tunazidi kukuombea Rais wetu, Mungu aendelee kukupa busara na upendo ili uendelee kututumikia vyema sisi Watanzania.

Corona upite mbali uiache Tanzania ,Ndani ya May shughuli za kiuchumi zirejelee

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe jamaa ukapimwe akili
 
Sector kuu zimesimama Mkuu mfano sector ya utalii imesimama kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

..ELIMU imesimama pia.

..hivyo serikali ina mapato ya ziada kwasababu shule na vyuo vimefungwa.

..sasa kwanini fedha zilizokuwa zitumike kwenye elimu zisitumike kama relief package kwa walioathirika kutokana na sekta ya utalii kuporomoka?
 
Nakubaliana na wewe,mtu anayeweza kuokota kichwa cha treni bandarini unadhani huyo ni mtu wa kawaida? Mtu wa namna hiyo wewe uliwahi kumsikia au kumuona wapi hapa duniani? Kichwa cha treni? Tena siyo kimoja eti?
 
Labda sijakuelewa elimu imesimama how Mkuu you means no salaries ?for civil servants ! Tender hazilipwi!

Let me know brother

Back
Top Bottom