Rais Magufuli aliposema tuna akiba ya fedha za kigeni kuendesha Nchi kwa miezi sita bila kuzalisha hawakuamini, sasa tunaenda mwezi wa tatu

Unapoandika hizi thread zako pata ushauri na kibali toka kwa mabosi wako sio unajiandikia tuu.
Unakoelekea unataka kumuaibisha kwa kuandika mada ambazo ziko juu sana ya uwezo wako na huwezi kuzitetea zaidi ya kumuacha utupu unayempigia chapuo.
Nikufundishe kitu kijana, ukipewa kazi ya kumnyoa Mfalme sehemu za siri sio kuwa umeruhusiwa kuchezea korodani!
Shauri yako! Hiyo ajira yenyewe haina hata wiki mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hamna anayetumwa kuanzisha thread humu kila mtu anaandika anavyojisikia,Bia yetu kaamua kuandika mazuri ndiyo maamuzi yake kutokana na anayoyaona,vijana wa Ufipa achani kuwa na vimaneno vya ovyo humu ndani.
 
Hoja ni kwamba tunaingia mwezi wa watatu toka korona iingie Africa mashariki Mkuu, hivyo shughuli nyingi za kiuchumi zimesimama hapo tayari ni kama tupo lockdown kiuchumi

Hili hulioni Mkuu au unanishambulia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi za wenzako huko wapo total lockdown, na sector ya utalii hamna kama ilivyo kwa Tanzania. Lakini serikali za wenzako wameenda mbali zaidi kwa kugawa vyakula kwa wananchi wake. Mwambie huyo aliyekutumia uingie JF na kufungua nyuzi kwa fujo za kumsifia sifia. Mwambie athubutu kuweka total lockdown kisha agawe chakula kwa kila mwananchi, na huduma za afya iwe bure, afute bill zote mpaka pale janga la virus vya corona itakapopita kama kweli pesa zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What's wrong with you brother

Kwanini una laumu tu,unaamka unalaumu tu, una lala unalaumu tu

Why not come with a solution and not put your efforts on negativity

Serkali Mbona inafanya kila linalowezekana kutokomeza hili balaa!
Kitu gani serkali haijafanya?

Come on brother, ipende Nchi yako there is no place like home

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulishauri tangu enzi ya Mkapa tukawaambia siku likitokea janga hamtalimudu, Sasa Ni muda wa kulaumu kwa ushauri wetu ulipuuzwa tangu dayone.

Tumewambia ethanol haiwezi mudu viruses, tumieni chlorine na acteric super hamsikilizi, Sasa tuwafanyeje zaidi ya kuwalaumu,

Prof Janabi kawashauri sikuhizi simsikii Tena naona chamoto kapata

Dr Mwale aliwashauri mlichomfanya kilamtu anajua.
 
Hawa Ndugu wanachojua ni matusi, ila ukiamua kuwatunushia wanakimbilia kuita mod, this is not fair kwa kweli

They should not dominate us, sikubali kwa kweli
Mkuu hamna anayetumwa kuanzisha thread humu kila mtu anaandika anavyojisikia,Bia yetu kaamua kuandika mazuri ndiyo maamuzi yake kutokana na anayoyaona,vijana wa Ufipa achani kuwa na vimaneno vya ovyo humu ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi za wenzako huko wapo total lockdown, na sector ya utalii hamna kama ilivyo kwa Tanzania. Lakini serikali za wenzako wameenda mbali zaidi kwa kugawa vyakula kwa wananchi wake. Mwambie huyo aliyekutumia uingie JF na kufungua nyuzi kwa fujo za kumsifia sifia. Mwambie athubutu kuweka total lockdown kisha agawe chakula kwa kila mwananchi, na huduma za afya iwe bure, afute bill zote mpaka pale janga la virus vya corona itakapopita

Sent using Jamii Forums mobile app
Chakula kitoke wapi? Kwani tulinunua Tundulissu alisema nchi haina chakula tukampuuza na kilichopo tukauza Zimbabwe
 
Nchi gani Africa ambayo ina total lockdown na inagawa chakula? No research no right to speak
Nchi za wenzako huko wapo total lockdown, na sector ya utalii hamna kama ilivyo kwa Tanzania. Lakini serikali za wenzako wameenda mbali zaidi kwa kugawa vyakula kwa wananchi wake. Mwambie huyo aliyekutumia uingie JF na kufungua nyuzi kwa fujo za kumsifia sifia. Mwambie athubutu kuweka total lockdown kisha agawe chakula kwa kila mwananchi, na huduma za afya iwe bure, afute bill zote mpaka pale janga la virus vya corona itakapopita

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Kawe alumni alikua hivi hivi
Sa hizi kazi yake imeisha so nawewe it is just the matter of time

Endelea tu baba Jf yote yako tambaaa
 
Kosa langu ni lipi? Speaking the truth ?

Kwamba The President has done an excellent job
Ndio unanihukumu? Come to your sense please

I have no time to judge useless mind like you that's why I have not commented anything related to your post rather than my view

Can you read that 'Come to your sense' for yourself please
 
Ifike mahali Watanzania wajiamini,tuna kiongozi bora sana wa Nchi ,

Sisi Tanzania tumebahatika kupata kiongozi anayechukia rushwa sana

Ni aghalabu kwa Nchi za kiafrica kumpata kiongozi Mzalendo kama Magufuli, viongozi Wengi wa Africa ni wapenda rushwa, Wengi wanashirikiana na Mabeberu kuwaibia Wananchi

Lakini Rais Magufuli amejitenga na ubadhirifu huo anawatumikia Wananchi wake kwa moyo mmoja, hana muda wa kwenda kwa Mabeberu kula kodi za Wananchi

Awamu ya tano awamu iliyojaa uzalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Kangi Lugola bado waziri? Yuko wapi sasa?
 
Back
Top Bottom