Rais Magufuli aliposema tuna akiba ya fedha za kigeni kuendesha Nchi kwa miezi sita bila kuzalisha hawakuamini, sasa tunaenda mwezi wa tatu

"Masikini husifia chawa wake".
Wakati mwingine ukiona tope kama hizi unatamani kumwona aliyeandika anafananaje?? Au unatamani kumtukana lakini hata ukitukana haitasaidia kwani hii mijitu imeshatukanwa sana haibadiliki. Kuna nchi zimefanya lockdown mwezi umepita sasa, wanatoa chakula kwa wananchi bure, sijui unapongeza nini sisi tunaozagaa kama maumbwa koko!
 
Jikite kwenye hoja kamanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom