Rais Magufuli akutana na Wafungwa na mahabusu katika gereza la Butimba, awaambia yeye ni mfungwa wa baadae

Nmeipokea kwa huzuni Sana kauli ya mheshimiwa aliyoitoa akiwa anaongea na wafungwa katika gereza la Butimba kuwa yeye ni mfungwa wa baadaye.Kwaujumla inawezekana ni prophetic word ila nitalifuta hilo neno kwa jina la Aliye juu Sana.
Kutaka kumuua Lissu, kumuua Ben saa8 hizo hatia zote lazima awe mfungwa hata asipokaa gerezani atakuwa mfungwa was nafsi,
 
Huyo bwana usalama alikoswakoswa leo na JPM naamini kashasain off ya siku tatu kuanzia jion hii naamini atakunywa pombe nyingi sanaaaa
 
Nmeipokea kwa huzuni Sana kauli ya mheshimiwa aliyoitoa akiwa anaongea na wafungwa katika gereza la Butimba kuwa yeye ni mfungwa wa baadaye.Kwaujumla inawezekana ni prophetic word ila nitalifuta hilo neno kwa jina la Aliye juu Sana.
Unalifuta wewe kama nani. Aliyelisema anajua fika kuwa anayoyafanya kesho hatima yake inaweza isiwe nzuri!
 
Hivi unajua kuchukua pesa bila idhini ya yule anayetakiwa kukuruhusu kuchukua pesa ni wizi? Kwanini kagoma $495 millions alizochota hazina na zile za ujenzi wa chato airport zisikaguliwe na CAG Assad? Kama hakuna maovu anahofia nini? 2.4 trillions kwanini kagoma kuunda tume huru kuchunguza kama hakuna wizi? 😳

Tatizo tunaongea sana bila kutoa evidence. Hakuna mtu anahukumiwa kwenda jela kwa maneno maneno ya mitaani. Next time, ili kujenga hoja, tuwekeeni mezani mbivu na mbichi
 
Huyo bwana usalama alikoswakoswa leo na JPM naamini kashasain off ya siku tatu kuanzia jion hii naamini atakunywa pombe nyingi sanaaaa
Nahisi siku nzima lei atakuwa anajiuliza amenusurikaje, maana Mkuu wake wa Gereza alishaitwa pale akaitika kusubiri maelekezo

Ile kauli ya "ameniinua" Jiwe alichukulia kama amepinduliwa ,, ashukuru zile samahani kama saba sijui zilitokaje kwa sekunde walai....nilicheka ingawa ilikuwa inahudhunisha..
 
Kiukweli inachekesha japo n yakuhuzunisha sema itakuwa amiri jesh alimuonea huruma kwa kufikiria umri wa yule askar ukizingatia kustaafu ndo kunakaribia kabisa
 
Leo kwa mara ya kwanza Mheshimiwa Rais amekutana na wafungwa na askari katika gereza la Butimba huko Mwanza.
Rais ambaye kila siku huwa anahimiza askari magereza kutowatendea wafungwa kama wako holiday Bali wahenyeshwe ili wajue wako jela amegeuka ghafla na kusema wafungwa waangaliwe kama watu wengine na kwamba hata yeye na wengine walio ambatana naye ni wafungwa au mahabusu wa baadae.
Hii about turn ya ghafla hivi imetokana na nini? Kwa nini anajitabiria kuwa mfungwa wa baadae?
Kwa kweli kwa huruma niliyo nayo nimejisikia vibaya mno baadae ya kauli yake hiyo. Wewe jee unadhani kwa nini anatabiri mambo mazito kama hayo sasa hivi?
Tutafakari sana.
Jela halina chama.
 
Which evidence are you talking about? I gave you some of the evidence and you’re still running away from the truth!? 😳😳😳😳

Tatizo tunaongea sana bila kutoa evidence. Hakuna mtu anahukumiwa kwenda jela kwa maneno maneno ya mitaani. Next time, ili kujenga hoja, tuwekeeni mezani mbivu na mbichi
 
Tuesday July 16 2019.

Rais wa Tanzania, John Magufuli ametoa zawadi ya ng’ombe watatu na magunia 15 ya mchele kwa wafungwa na mahabusu katika Gezeza Kuu la Butimba jijini Mwanza akisema na yeye ni kama mfungwa mtarajiwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tuesday July 16 2019.

Rais wa Tanzania, John Magufuli ametoa zawadi ya ng’ombe watatu na magunia 15 ya mchele kwa wafungwa na mahabusu katika Gezeza Kuu la Butimba jijini Mwanza akisema na yeye ni kama mfungwa mtarajiwa.
Kwahiyo tuseme amejitabiria.
 
Ameongea vitu vya msingi sana naona umechukua kipande tuu anapojali watu wenye shida na kubambikiwa kesi inatakiwa tuwe pamoja kumsapoti amesema Mimi na ujumbe wangu wote ni wafungwa watarajiwa kuwa sehemu hii isiwafanye watu wengine kuwaondolea utu wenu kama hizi shutuma nilizozisikia hapa najua kinachoendelea katika gereza hili ndio maana nimekuja yupo Askari hapa anaingiza simu na anawanyang"anya baadhi kama hamkutoa rushwa kila kitu humu kinaingia kuanzia bangi na vitu vingine..amefanya jambo jema sana kwa kushtukiza kwenda pale
 
Back
Top Bottom