Rais Magufuli akutana na Mzee Mkapa!

Rais Magufuli akutana na Mzee Mkapa!

Mkapa is an asset for magu's era and the nation too. Of course he had/has his weaknesses but at least amejitambua kwa sasa
 
Raisi Magufuli alipokwenda nyumbani kwa Mzee Mkapa Masaki kumtembelea!

DSC_9103.JPG







231.jpg

Huyu Pamoja Na Mzee Wa Katiba Sinde Ndiyo Kwa 100% THINK TANK Wa Msubi Magu. Kwa Vichwa Hivyo VIWILI Sina WASIWASI Wowote Kuwa Rais Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI Ataongoza Nchi Vizuri Sana Kama Siyo Mno.
 
Achukue maamuzi sahihi mshindi halali atangazwe
Yupi mshindi halali wakati matokeo hayakumalizwa kutangazwa?. Pia tukumbuke uchaguzi ulifutwa. So Seif alimwaga mboga, Jecha akamwaga ugali...turudi uwanji ndio suluhisho...
 
Raisi Magufuli alipokwenda nyumbani kwa Mzee Mkapa Masaki kumtembelea!

DSC_9103.JPG







231.jpg


Huyu mtu anasalimiwa kwa misingi ipi wakati yeye ni mwizi wa kutupwa? Huyu na mwenzake Mwinyi bila kumsahau pilot asiye na license (JK) yabidi wakamatwe na kufunguliwa mashitaka ya ufisadi. Very useless.
 
Malofa ni wale walioshindwa kulipa ada ya shilingi 20,000 ili watoto wao waende kusoma sekondari mpaka serikali imeamua kuiondoa ada hiyo. Na wapumbavu ni wale wanaodhani bila ya CCM kutawala Zanzibar, Tanzania italaaniwa!!
duhh!! hii si bure, amekunywa kimpumu huyu. unawatukana watz wote wanaofurahia kufaidi matunda ya nchi yao. ajabu na kweli.
 
Kwanini Mkapa na si Kikwete?Nafikiri deepdown moyoni Magu hamkubali ki vile Mkapa....
 
Ukichungulia kwa Nyuma unaona Bahati ya hindi kumbe Mzee kajenga kwny Fukwe!!!
Shati la Mzee Ben nadhan ni special order!
Kichwani Ben alikuwa vizuri sana kuliko alivyo leo Magu, ila kuishi Dar miaka mingi pamoja na kuoa kule kwa kina Fulani kulimfanya akawa mjanja fulani kitu ambacho hatukitegemei kwa Dr.Pombe aliehamia Dsm kwa mara ya kwanza 1995 alipoteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi kwa vijiwe kama cha Palm beach vya mkapa au Vya saigon kwa kikwete hajawahi kukanyaga hivyo hatutegemei akina Machaprano kwenda kumsalimia Ikulu
 
Back
Top Bottom