Rais Magufuli akutana na Mzee Mkapa!

Rais Magufuli akutana na Mzee Mkapa!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Raisi Magufuli alipokwenda nyumbani kwa Mzee Mkapa Masaki kumtembelea!

DSC_9103.JPG







231.jpg
 
Zanzibar inamuumiza kichwa Mzee wa kutumbua majipu!
 
Hakuna namna Magufuli asimtafute mentor wake kisiasa.

Mzee Mkapa alijilipua wakati wa kampeni, akakubali matusi, wacha ajipumzikie taratibu huku akila vyake...
 
Kukutana si neno Jambo muhimu ni kile walichojadili. kama ni urafiki tu wala haituhusu
 
Ivi masaki hakujai maana hadi manaibu waziri wana ma bangalo uko
 
Back
Top Bottom