Hahaha. You made my day. Jecha akaona aaaa unanichezea basi nafuta hayo matokeo kama vipi kajiapishe sasa maana umeshajitangaza.Yupi mshindi halali wakati matokeo hayakumalizwa kutangazwa?. Pia tukumbuke uchaguzi ulifutwa. So Seif alimwaga mboga, Jecha akamwaga ugali...turudi uwanji ndio suluhisho...
Huyo Mkapa mwenyewe alifanya nini kuhusu mgogoro wa Zanzibar wakati wa utawala wake?Huyu alisema raisi akipenda ampe kazi yeyote .ampe huo mgogoro wa zanzibar ausuluhishe
kaka mimi naona maoni yako ni uchizi fulani. Pamoja sote tunajua Magufuli sio kiongozi bali mtendaji na madhaifu yake kama mwanadamu ila sioni sababu zako zina msingi wowote wa kutojiamini.Nchi haiendeshwi unavyodhania .kuna umuhimu gani kumfuata Mkapa nyumbani kwake, na kwa nini akutane na hawa wastaafu (Mkapa, JK, Waryoba, etc.) mara nyingi namna hii? watu wanaweza kutafsiri kwamba ni udhaifu na kutojiamini.
Mshindi gani?Achukue maamuzi sahihi mshindi halali atangazwe
Ukiona hivyo suala la Zenj linachemka.kuna umuhimu gani kumfuata Mkapa nyumbani kwake, na kwa nini akutane na hawa wastaafu (Mkapa, JK, Waryoba, etc.) mara nyingi namna hii? watu wanaweza kutafsiri kwamba ni udhaifu na kutojiamini.
Sawa una weza kuamini ni cheni kilicho nin'ginizwa una kijua? Waafrika sisi usisahau.Mkapa naye bwana. Micheni kama 50 cent. Mtu kashajizeekea lakini bado tu anautafuta ujana.
Lowassa nje anaishi kama rais, kwani sera zake zinatekelezwa na sifa anachukua lowassa ukawakwani Lowasa ana nini? labda yy ndo amtafute magu
Magu akimsikiliza Lofa atamuingiza chaka.Ukiona hivyo suala la Zenj linachemka.
Kumbuka Marekani ambaye ni kiranja wa dunia walishalielekeza shirika lao la MCC kuzuia ule msaada wao wa dola za kimarekani milioni 472 kwa Tanzania hadi pale suala la uchaguzi wa Zanzibar litakapopatiwa ufumbuzi, kwa maana ya mshindi aliyepatikana tarehe 25/10/2015 atangazwe.
Sasa kwa kuwa CCM wanajiona kama ndiyo wamepewa hati miliki na Mwenyezi Mungu ya kuitawala nchi hii hadi mwisho wa dunia, wamelazimisha kufanya uchaguzi wao wa marejeo ambao ni batili kisheria.
Sasa kwa kuwa Magu maji yako shingoni kutokana na shinikizo la Jumuiya za kimataifa ambazo zilituma waangalizi wao kwenye uchaguzi uliopita na wakatoa taarifa zao kuwa uchaguzi huo ulikuwa huru na haki, kwa hiyo Magu ameenda kwa Mkapa ili wapeane ushauri namna ya kutafuta solution muafaka kutokana na suala la Zanzibar, ambalo kwa sasa limekuwa suala tete sana.
Ukichungulia kwa Nyuma unaona Bahati ya hindi kumbe Mzee kajenga kwny Fukwe!!!
Shati la Mzee Ben nadhan ni special order!
Kichwani Ben alikuwa vizuri sana kuliko alivyo leo Magu, ila kuishi Dar miaka mingi pamoja na kuoa kule kwa kina Fulani kulimfanya akawa mjanja fulani kitu ambacho hatukitegemei kwa Dr.Pombe aliehamia Dsm kwa mara ya kwanza 1995 alipoteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi kwa vijiwe kama cha Palm beach vya mkapa au Vya saigon kwa kikwete hajawahi kukanyaga hivyo hatutegemei akina Machaprano kwenda kumsalimia Ikulu
Matokeo ya uchaguzi yalishatangazwa na kubandikwa vituoni,majimboni.Yupi mshindi halali wakati matokeo hayakumalizwa kutangazwa?. Pia tukumbuke uchaguzi ulifutwa. So Seif alimwaga mboga, Jecha akamwaga ugali...turudi uwanji ndio suluhisho...
Raisi Magufuli alipokwenda nyumbani kwa Mzee Mkapa Masaki kumtembelea!
![]()
Huyu mtu anasalimiwa kwa misingi ipi wakati yeye ni mwizi wa kutupwa? Huyu na mwenzake Mwinyi bila kumsahau pilot asiye na license (JK) yabidi wakamatwe na kufunguliwa mashitaka ya ufisadi. Very useless.
Kumpa Mkapa kutatua mgogoro wa Zanzibar ni sawa na kuweka mafuta kwenye moto.Huyu alisema raisi akipenda ampe kazi yeyote .ampe huo mgogoro wa zanzibar ausuluhishe
Kwa kazi aliyoifanya Mzee kwa vyovyote Magufuli lazima ampe heshima zake mzee wa watu
we unaona kama urembo kumbe ni kinga hiyo,Msoga anavaa pete mbili nae ni wale wale tu....Mkapa naye bwana. Micheni kama 50 cent. Mtu kashajizeekea lakini bado tu anautafuta ujana.
Hivi hlo shati la braza Mkapa haliwezi kufunika starlet kama la le mutuz?Raisi Magufuli alipokwenda nyumbani kwa Mzee Mkapa Masaki kumtembelea!
![]()
![]()
Matokeo kubandikwa vituoni hakuondoi kuwa CUF walifanya udanganyifu na ushahidi upo...Pia hujui kuwa kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi Zanzibar mgombea urais kujitangaza kuwa kashinda ni uhaini??.Matokeo ya uchaguzi yalishatangazwa na kubandikwa vituoni,majimboni.
Kila chama ina nakala za hayo matokeo. CCM inajua iliangukia pua na hivyo iliamua kutengeneza "Mkwamo" kwa kutumia JWTZ, Polisi na Jecha.
Jecha amalizie kuyatangaza tu hakuna namna.
Jecha alishayatangaza majimbo 31...kisheria hawezi kufuta matokeo hayo. Ni mahakama tu ndio inaweza kutengua matokeo hayo na kuamuru re-run ya uchaguzi kama matokeo yatapingwa mahakamani.
Jecha aimeitia nchi aibu kubwa.CCM kushabikia uamuzi batili wa Jecha ni kufilisika kisiasa.