elivina shambuni
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 461
- 295
Hata na mimi nilifikiri hivyo, nikaona labda Magu kaona la zaidi.Ujenge barabara bila mtaro ?
Naomba mnieleweshe wakuu,
Maana mimi nadheni mtaro ndio uanze then barabara ya rami
Hata na mimi nilifikiri hivyo, nikaona labda Magu kaona la zaidi.
Tunajenga barabara bila mitaro, halafu kimvua kidogo tu kikinyesha barabara zinafurika, tunalaumiana.
Wataalamu wakitaka kutengeneza mitaro kabla ya barabara, rais anawaingilia.
Halafu shilingi bilioni moja ya leo kwenye miradi ya umma si hela nyingi hivyo.Mm pia niliwaza kuwa mitaro ikijengwa ndio barabara zitadumu, pia bil 1 itatosha kujenga barabara za mitaa? Au ana maanisha kusawazisha barabara za vumbi, labda ngoja nicheki clip nitaelewa zaidi You Tube
Bilioni moja inaweza kujenga barabara ya lami YENYE urefu wa km Kama moja tu!Halafu shilingi bilioni moja ya leo kwenye miradi ya umma si hela nyingi hivyo.
Naelewa kunaweza kuwa na wizi, na rais anatakiwa kuudhibiti, lakini shilingi bilioni moja si hela nyingi hivyo katika miradi ya umma.
Inawezekana rais ana kumbukumbu ya shilingi ya zamani iliyokuwa na thamani sana, katika zama ambazo shilingi imeshuka thamani.
Tatizo Magufuli anaona kila kitu lazima akosoe tu.Bilioni moja inaweza kujenga barabara ya lami YENYE urefu wa km Kama moja tu!
Sitaki KUAMINI Kuwa waliopanga hiyo B1 ijenge mitaro kwanza walikuwa NI malofa,ikizingatiwa mji wa Igunga NI tambarare Sana hivo unahitaji mitaro ya kuyatoa maji....naweza kosolewa!